Wabunge wa CCM 'walioanguka' kura za wajumbe

CHADEMA hatushiriki uchaguzi! No reforms no election! Ila wakisema tu tunashiriki CCM chali! Ndiyo maana CCM inataka ibaki peke yake!
LAKINI CHA AJABUNA NYINYI CHADEMA MNAWAGOMBEA WENU MNAWASHANGILIA MAAJABU
 
LAKINI CHA AJABUNA NYINYI CHADEMA MNAWAGOMBEA WENU MNAWASHANGILIA MAAJABU
Yeah, kwa vile sisi hatushiriki lazima tuwashangili. Yaani mtu amwangushe Msigwa halafu nisishangilie? Bulaya (kama siyo m..laya), Matiko, Hawa, Nusrat, Peneza wote hao waangushwe niache kushangilia? Nitakuwa sina akili!
 
Jah Pipo amejaa kwenye nyavu za pipo
 
Kura za maoni Ccm...wajumbe ni kama hufanywa mataahira tu!

Pamoja na yeyote kuongoza,

Majina YATARUDISHWA KAMATI KUU, CCM kura za maoni huwa wanawafurahisha wajumbe tu...

Majina yakipelekwa kamati kuu, ANARUDISHWA USIEMPENDA KAJA!

Nina mfano halisi...jimbo la bunda MJINI kashinda TAJIRI MABOTO, MTOTO WA WASIRA KAWA NAMBA3...LAKINI AMINI NAKUAPIA!... MASATO WASIRA NDIE MBUNGE WA BUNDA!....mzee wasira yuko meza moja na samia!

Tutakuwepo
 
Duh kweli maisha hayana mwenyewe, Yani Fadhili Ngajilo anamzidi Msigwa? Nina uhakika 100%, Msigwa agombee Chadema, Ngajilo angombee CCM, Msigwa anachukua ushindi
Kuna chama chenye wenyewe
 
Nachingwea sio Issa ni Amandus Chinguile
 
Katika Jimbo la Iringa Mjini, aliyekuwa mbunge Jesca Msambatavangu amejikuta nafasi ya nne kwa kura 408. Mshindi wa kura hizo ni Fadhil Ngajilo aliyepata kura 1,899, akifuatiwa na Wakili Moses (1,523) na Mchungaji Peter Msigwa (477).
Wajumbe wabaya ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…