Wabunge wa CCM Wanamlalamikia Nani Bungeni?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati

Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.

Afu madudu yakifanyika
Wanalalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.

Unajua kujidunga sindano mwenyewe ni kazi ngumu sana inahitaji ujasiri wa ziada. Wabunge wa CCM more than 80% ni majizi. yamo humohumo wanaoneana aibu.

Watanzania tuna haja ya kuamkaa Kwa pamoja na kuwakataa hawa watu ni mchwa. Nchi inatafunwa kama haina mwenyewe.
 
Wabunge kazi yao ni kuisimamia serikali, serikali inapaswa kuchukua hatua na imeanza kuchukua.
 
Wanamlalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.

Unajua kujidunga sindano ni kazi mgumu sana. Ndani ya wabunge wa CCM more than 80% ni majizi. yamo humohumo wanaoneana aibu.

We huna akili timamu, kua wabunge wa chama tawala haiondoi uwakilishi wa wananchi
 
Mbaya zaidi mbunge akiteuliwa Uwaziri anakuwa waziri na Mbunge at the same time.

Wivu ndo hutawala Kwa kiac kikubwa wabunge kuutamani uwaziri.

KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA imependekeza dhahiri mawaziri wasitokane na wabunge, na iwepo mamlaka ya kuwathibitisha.

Hapo Serikali itasimamiwa ipasavyo.
 
Hiyo itakuwa afadhali. Ubunge na uwaziri Hapo hapo ni double standard
 
Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati

Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.

Afu madudu yakifanyika
Wanamlalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.

Unajua kujidunga sindano ni kazi mgumu sana. Ndani ya wabunge wa CCM more than 80% ni majizi. yamo humohumo wanaoneana aibu.

Watanzania tuna haja ya kuamkaa Kwa pamoja na kuwakataa hawa watu ni mchwa. Nchi inatafunwa kama haina mwenyewe.
Swali zuri sana!! Maana wao pia hapo walipo walifikaje? Madudu matupu.. Mie ningeshauri bunge livunjwe kuitishwe uchaguzi halali. Ili kutendeke mambo halali bungeni.
 
Wabunge kazi yao ni kuisimamia serikali, serikali inapaswa kuchukua hatua na imeanza kuchukua.
Jiulize
1. Serikali inaundwa na chama gani?
2. Wabunge majority ni wa chama gani? 3..Hao wabunge wanalalamikia Serikali ya chama gani?
4. Hao wabunge wanataka nani achukuliwe hatua kwa mapungufu ya Serikali? (Nani amfunge paka kengele?)
 
Wabunge wa ccm we gi wao ni mapoyoyo. Hawajui kaI za mbunge hivyo hawajui wafanye nn. Ndiyo maana wanabwatuka hovyo...wengine wanaruka sarakasi, wengine wanalia na wengine wanavaa kininja ili mradi tu kutafuta attention
 
Jiulize
1. Serikali inaundwa na chama gani?
2. Wabunge majority ni wa chama gani? 3..Hao wabunge wanalalamikia Serikali ya chama gani?
4. Hao wabunhe wanataka nani achukuliwe hatua kwa mapungufu ya Serikali? (Nani amfunge paka kengele?)
Serikali ndo Raisi na mawaziri wake wanasimamia wizara mbalimbali.
Wakati huohuo mawaziri ni wabunge.

Máanake serikali ikifail mawaziri wamefail ambao ndiyo wabunge.

Muundo wa serikaki yetu una shida mahali.
 
Kwa maana hiyo hakuna wa kumwajibisha mwenzake
 
Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati

Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.

Afu madudu yakifanyika
Wanamlalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.

Unajua kujidunga sindano ni kazi mgumu sana. Ndani ya wabunge wa CCM more than 80% ni majizi. yamo humohumo wanaoneana aibu.

Watanzania tuna haja ya kuamkaa Kwa pamoja na kuwakataa hawa watu ni mchwa. Nchi inatafunwa kama haina mwenyewe.
Mbona wanasema nchi imerudi kwa wenyewe
 
Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati

Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.

Afu madudu yakifanyika
Wanalalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.

Unajua kujidunga sindano mwenyewe ni kazi ngumu sana inahitaji ujasiri wa ziada. Wabunge wa CCM more than 80% ni majizi. yamo humohumo wanaoneana aibu.

Watanzania tuna haja ya kuamkaa Kwa pamoja na kuwakataa hawa watu ni mchwa. Nchi inatafunwa kama haina mwenyewe.
Kikundi cha wabhnge wa mwendazake ni aibu tupu
 
On
Mbaya zaidi mbunge akiteuliwa Uwaziri anakuwa waziri na Mbunge at the same time.

Wivu ndo hutawala Kwa kiac kikubwa wabunge kuutamani uwaziri.

KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA imependekeza dhahiri mawaziri wasitokane na wabunge, na iwepo mamlaka ya kuwathibitisha.

Hapo Serikali itasimamiwa ipasavyo.
Only Warioba Katiba Will Save our nation
 
Back
Top Bottom