Wabunge wa CCM Wanamlalamikia Nani Bungeni?

Wabunge wa CCM Wanamlalamikia Nani Bungeni?

On

Only Warioba Katiba Will Save our nation
Binafsi nilitoa maoni yangu juu ya KATIBA mpya mbele ya Mzee huyu somewhere akiwa mkt wa Tume ya Katiba.

Mungu ampe maisha marefu Mzee wetu mzuri WARIOBA Ili akamilishe KAZI tulomwomba aifanye Watanzania na awepo kuikabidhi KATIBA mpya 2026.


Ameeen.
 
Swali zuri sana!! Maana wao pia hapo walipo walifikaje? Madudu matupu.. Mie ningeshauri bunge livunjwe kuitishwe uchaguzi halali. Ili kutendeke mambo halali bungeni.
Nani alovunje bunge? Uchaguzi haukua halali? Ukiwa na maana hadi raisi nae aachie ngazi ili uchaguzi mwingine ufanyike?
 
Nani kakuambia tunaona aibu?
Hata mimi nimemshangaa sana. Tangu lini CCM mkawa watu wa kuona aibu!!? Yaani amewakosea adabu kupitiliza. Na kama vipi awaombe radhi huku akiwa amepiga magoti. CCM HUWA HAMUONI AIBU

Mambo mangapi ya hovyo mnafanya na hamjawahi kuona aibu.

Hamkuona aibu kupora uchaguzi ndiyo mje muone aibu bungeni?

Hamkuona aibu kudanganya nchi haikopi kumbe inakopa, ndiyo muone aibu bungeni?

Hamkuona aibu kuiba hela za Tegeta Escrow ndiyo muone aibu bungeni!?

Hamkuona aibu trilioni 1.5 za serikali kutojulikana zilikoenda, ndiyo muone aibu Bungeni?

Hamkuona aibu kusema hakuna CORONA Tanzania ndiyo muone aibu Bungeni?

Nyie watu uso zenu ziliumbwa na haya lakini matendo yenu yamewafanya msiwe na haya hata kidogo.

Mtu anayedhani iko siku mtakuja kuona aibu kwa mambo mnayoyafanya, anajidanganya sana.
 
Ni vituko vinavyopatikana Africa
 
Back
Top Bottom