The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Mbunge huyo anayepaswa kuisimamia serikali ndiye huyo huyo ambaye kesho anategemea kuwa sehemu ya hiyo serikali (waziri)!!!???Wabunge kazi yao ni kuisimamia serikali, serikali inapaswa kuchukua hatua na imeanza kuchukua.
We huna akili timamu, kua wabunge wa chama tawala haiondoi uwakilishi wa wananchiHili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati
Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.
Afu madudu yakifanyika
Wanamlalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.
Unajua kujidunga sindano ni kazi mgumu sana. Ndani ya wabunge wa CCM more than 80% ni majizi. yamo humohumo wanaoneana aibu.
Watanzania tuna haja ya kuamkaa Kwa pamoja na kuwakataa hawa watu ni mchwa. Nchi inatafunwa kama haina mwenyewe.
Hawa hawa wa kuunga mkono bajeti kwa 100% ?Wabunge kazi yao ni kuisimamia serikali, serikali inapaswa kuchukua hatua na imeanza kuchukua.
Umejibu Nini sasa kiongozi?We huna akili timamu, kua wabunge wa chama tawala haiondoi uwakilishi wa wananchi
Hiyo itakuwa afadhali. Ubunge na uwaziri Hapo hapo ni double standardMbaya zaidi mbunge akiteuliwa Uwaziri anakuwa waziri na Mbunge at the same time.
Wivu ndo hutawala Kwa kiac kikubwa wabunge kuutamani uwaziri.
KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA imependekeza dhahiri mawaziri wasitokane na wabunge, na iwepo mamlaka ya kuwathibitisha.
Hapo Serikali itasimamiwa ipasavyo.
Swali zuri sana!! Maana wao pia hapo walipo walifikaje? Madudu matupu.. Mie ningeshauri bunge livunjwe kuitishwe uchaguzi halali. Ili kutendeke mambo halali bungeni.Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati
Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.
Afu madudu yakifanyika
Wanamlalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.
Unajua kujidunga sindano ni kazi mgumu sana. Ndani ya wabunge wa CCM more than 80% ni majizi. yamo humohumo wanaoneana aibu.
Watanzania tuna haja ya kuamkaa Kwa pamoja na kuwakataa hawa watu ni mchwa. Nchi inatafunwa kama haina mwenyewe.
Wamechukua barua zipiWabunge kazi yao ni kuisimamia serikali, serikali inapaswa kuchukua hatua na imeanza kuchukua.
JiulizeWabunge kazi yao ni kuisimamia serikali, serikali inapaswa kuchukua hatua na imeanza kuchukua.
Serikali ndo Raisi na mawaziri wake wanasimamia wizara mbalimbali.Jiulize
1. Serikali inaundwa na chama gani?
2. Wabunge majority ni wa chama gani? 3..Hao wabunge wanalalamikia Serikali ya chama gani?
4. Hao wabunhe wanataka nani achukuliwe hatua kwa mapungufu ya Serikali? (Nani amfunge paka kengele?)
Kwa maana hiyo hakuna wa kumwajibisha mwenzakeSerikali ndo Raisi na mawaziri wake wanasimamia wizara mbalimbali.
Wakati huohuo mawaziri ni wabunge.
Máanake serikali ikifail mawaziri wamefail ambao ndiyo wabunge.
Muundo wa serikaki yetu una shida mahali.
Mbona wanasema nchi imerudi kwa wenyeweHili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati
Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.
Afu madudu yakifanyika
Wanamlalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.
Unajua kujidunga sindano ni kazi mgumu sana. Ndani ya wabunge wa CCM more than 80% ni majizi. yamo humohumo wanaoneana aibu.
Watanzania tuna haja ya kuamkaa Kwa pamoja na kuwakataa hawa watu ni mchwa. Nchi inatafunwa kama haina mwenyewe.
Kikundi cha wabhnge wa mwendazake ni aibu tupuHili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati
Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali.
Afu madudu yakifanyika
Wanalalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja.
Unajua kujidunga sindano mwenyewe ni kazi ngumu sana inahitaji ujasiri wa ziada. Wabunge wa CCM more than 80% ni majizi. yamo humohumo wanaoneana aibu.
Watanzania tuna haja ya kuamkaa Kwa pamoja na kuwakataa hawa watu ni mchwa. Nchi inatafunwa kama haina mwenyewe.
Hehehe.....waache wale balaa na wakwao
Only Warioba Katiba Will Save our nationMbaya zaidi mbunge akiteuliwa Uwaziri anakuwa waziri na Mbunge at the same time.