johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Spika wa bunge la JMT Mh Tulia Ackson alisema anasubiri maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA ili kujua hatma ya wabunge 19 wa chama hicho
Habari kutoka makao makuu ya CHADEMA yaliyopo mtaa wa Ufipa zinasema Baraza kuu litasikiliza rufani 6 tu zilizokatwa na kwamba hao wengine 13 maamuzi yanasimama yale yale yaliyotolewa na kamati kuu.
Kikao cha Baraza kuu kitaongozwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu ambaye anategemewa kuwasili nchini wakati wowote kuanzia sasa.
Kila la kheri Tundu Lissu na CHADEMA!