steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
HALI NI TETE NANGAI KAMANDAWewe huijui Chadema!
LISSU ANAKUJA KULIKOMBOA CHAMA KUTOKA KWA GAIDI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HALI NI TETE NANGAI KAMANDAWewe huijui Chadema!
Chadema haijawahi kuwa na njaa!HALI NI TETE NANGAI KAMANDA
LISSU ANAKUJA KULIKOMBOA CHAMA KUTOKA KWA GAIDI
Hawaoni umuhimu wa kukata rufaa kwenye Chama sababu kwanza wanajua walikuwa hawajafukuzwa bali yalikuwa ni mapendekezo ya kamati kwenda mkutano Mkuu ili maamuzi kamili yafikiwe, pili wanajua wakishafukuzwa rasmi wataenda mahakamani na wataendelea na ubunge wao.
HALI NI TETE NANGAI KAMANDA
LISSU ANAKUJA KULIKOMBOA CHAMA KUTOKA KWA GAIDI
NJAA HAINA BAUNSA
CHADEMA HALI YA UCHUMI ITAYUMBA IKIWAFUKUZA HAO WABUNGE NA KAMWE HAWAWEZI KUFANYA HIVYO
Acha aje apiganie ruzuku, halafu kwa Sasa join the chain erythrocyte kasema Kuna 12m nadhani lissu keshajua Kuna mpunga.
Karibu lissu karibu Amsterdam.
Spika wa bunge la JMT mh Tulia Ackson alisema anasubiri maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA ili kujua hatima ya wabunge 19 wa chama hicho
Habari kutoka makao makuu ya CHADEMA yaliyopo mtaa wa Ufipa zinasema Baraza kuu litasikiliza rufani 6 tu zilizokatwa na kwamba hao wengine 13 maamuzi yanasimama yale yale yaliyotolewa na kamati kuu.
Kikao cha Baraza kuu kitaongozwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu ambaye anategemewa kuwasili nchini wakati wowote kuanzia sasa.
Kila la kheri Tundu Lissu na CHADEMA!
Hawaoni umuhimu wa kukata rufaa kwenye Chama sababu kwanza wanajua walikuwa hawajafukuzwa bali yalikuwa ni mapendekezo ya kamati kwenda mkutano Mkuu ili maamuzi kamili yafikiwe, pili wanajua wakishafukuzwa rasmi wataenda mahakamani na wataendelea na ubunge wao.
Kama huyu hapaNaibu spika aliyebadilisha na kuwa spika ni mwanasheria mwenye ngazi ya PhD katika sheria na anayoyaeleza ndicho kiwango cha uelewa wake. Sasa sijui mtu kama mimi niliyeishia darasa la 4B uelewa wangu utakuwaje.
Nchi hii ina tatizo kubwa na kibaya zaidi tulijenga kasumba ya kuwaamini wasomi wakati 99% wamesoma ili wapate kazi na mshahara na sio kupractice walichokisoma
Gaidi yule Mkuu we ngoja uone mwisho wake ndio utashangaaUnamwita mtu Gaidi wakati Tanzania hakuna ugaidi. Tusiombe vitu amabavyo havipo kisa siasa.
Hilo ndio lilikuwa linasubiriwa sijui kwa nini limechukua muda mrefu hivyoSpika wa bunge la JMT mh Tulia Ackson alisema anasubiri maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA ili kujua hatima ya wabunge 19 wa chama hicho
Habari kutoka makao makuu ya CHADEMA yaliyopo mtaa wa Ufipa zinasema Baraza kuu litasikiliza rufani 6 tu zilizokatwa na kwamba hao wengine 13 maamuzi yanasimama yale yale yaliyotolewa na kamati kuu.
Kikao cha Baraza kuu kitaongozwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu ambaye anategemewa kuwasili nchini wakati wowote kuanzia sasa.
Kila la kheri Tundu Lissu na CHADEMA!
Shetani anakudanganya kuwa anakupenda sana, ila hautajua jinsi atakavyokutosa na mwisho wa yote hautakuwa na kulia nae.Gaidi yule Mkuu we ngoja uone mwisho wake ndio utashangaa
Ni halali ndiyo mpaka pale CHADEMA itakapomthibitishia kuwa siyo halali! Binti ni mwanasheria huyu huwa hatoi majibu yanayoweza kuja kumfunga baadayeTulia si alisema wale 19 wote ni halali? Leo anasubiri nini sasa kutoka CDM?
Acha aje apiganie ruzuku, halafu kwa Sasa join the chain erythrocyte kasema Kuna 12m nadhani lissu keshajua Kuna mpunga.
Karibu lissu karibu Amsterdam.
tatizo lipo kwa makamu mwenyekiti maana hatakuja wanapiga porojo tu lissu haji nchi leo wala keshoSpika wa bunge la JMT Mh Tulia Ackson alisema anasubiri maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA ili kujua hatma ya wabunge 19 wa chama hicho
Habari kutoka makao makuu ya CHADEMA yaliyopo mtaa wa Ufipa zinasema Baraza kuu litasikiliza rufani 6 tu zilizokatwa na kwamba hao wengine 13 maamuzi yanasimama yale yale yaliyotolewa na kamati kuu.
Kikao cha Baraza kuu kitaongozwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu ambaye anategemewa kuwasili nchini wakati wowote kuanzia sasa.
Kila la kheri Tundu Lissu na CHADEMA!
Nadhani Mbowe na Mnyika wana maslahi fulani kwa wale covid 19!Hilo ndio lilikuwa linasubiriwa sijui kwa nini limechukua muda mrefu hivyo
Lakini Lisu mjanja mno alipoteza Passport anakuja kafyata Taratibu za kisheria kuipata akaona nauli ya kuja hana na pesa za kukaa nchini hana akaona watumie gia ya kuja kwa akili ya kikao cha baraza kuu ili alipwe na Chadema kila kitu.
Huo mkutano wangefanya hata kwa teleconference mbona join the chain wanafanya bila kukutana uso kwa uso?
Anyway ni mambo jema katiba ya Chadema imezingatiwa hili ndilo tulipiga kelele sana ila Mnyika na Mbowe walikuwa vikwazo hawataki kuitisha baraza kuu sijui kwa nini
Lisu anakuja tena kwa kugharamiwa na serikali.tatizo lipo kwa makamu mwenyekiti maana hatakuja wanapiga porojo tu lissu haji nchi leo wala kesho
asa wewe wa la 4b unaweza kubishana na phd? kwanza sheria hujui usifikiri yule spika ni kilaza anajuwa wapi pa kuchomokea na angekuwa nje ya sheria chadema wangekuwa wameshaenda mahakamani lakini wamekaa kimya ujue walikoroga wenyeweNaibu spika aliyebadilisha na kuwa spika ni mwanasheria mwenye ngazi ya PhD katika sheria na anayoyaeleza ndicho kiwango cha uelewa wake. Sasa sijui mtu kama mimi niliyeishia darasa la 4B uelewa wangu utakuwaje.