johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Acha kukariri bwashee.Wakiwaacha hawa 19 wakaendelea, chances ni kwamba hata kwenye Bunge lijalo la 2025-2030 hawa watgombea na kupata ubunge. Wakiwafukuza, wajue 2025 hawa watakuwa CCM na watakuwa wabunge kupitia CCM.
CHADEMA kama wanajipenda, wasiwafukuze hawa wabunge, kwani kwa kufanya hivyo, watakuwa wana-jeopardize chance yao ya kupata wabunge wengi 2025. Wasifanye hasira ya mkisi. Mimi nashauri wawaache na Mh. Tundu Lissu naomba zimfikie taarifa hizi
Kimsingi hao walishafukuzwa!