johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Walishaona kilichowakuta wote walioubeba uovu, Kila aliyeshiriki kuulinda uovu ameingiwa na hofu🤔ila twende mbele turudi nyuma au basi twende mbele
Wewe hujui maongezi ya Ubelgiji!Wale wote siyo wanachama wa CHADEMA
Jaji mkuu alisema elimu ya Tanzania inakaribia kuexpire!Naibu spika aliyebadilisha na kuwa spika ni mwanasheria mwenye ngazi ya PhD katika sheria na anayoyaeleza ndicho kiwango cha uelewa wake. Sasa sijui mtu kama mimi niliyeishia darasa la 4B uelewa wangu utakuwaje.
Nchi hii ina tatizo kubwa na kibaya zaidi tulijenga kasumba ya kuwaamini wasomi wakati 99% wamesoma ili wapate kazi na mshahara na sio kupractice walichokisoma
Si Tulia, huo ni mpango wa CCM yenyewe ili ku-justify demokrasia nchini baada ya kuuvuruga uchaguzi mkuu.Hao hawatakiwi hata kuwepo bungeni, Tulia sijui anawalinda hao wahujumu uchumi kwa sababu gani.
CCM na Mnyika!si Tulia, huo ni mpango wa CCM yenyewe ili ku-justify demokrasia nchini baada ya kuuvuruga uchaguzi mkuu.
Endelea kukariri!Hawaoni umuhimu wa kukata rufaa kwenye Chama sababu kwanza wanajua walikuwa hawajafukuzwa bali yalikuwa ni mapendekezo ya kamati kwenda mkutano Mkuu ili maamuzi kamili yafikiwe, pili wanajua wakishafukuzwa rasmi wataenda mahakamani na wataendelea na ubunge wao.
Wewe huijui Chadema!NJAA HAINA BAUNSA
CHADEMA HALI YA UCHUMI ITAYUMBA IKIWAFUKUZA HAO WABUNGE NA KAMWE HAWAWEZI KUFANYA HIVYO