Wabunge wa CHADEMA ambao hawajakata rufaa wako hatarini, CHADEMA kusikiliza rufaa 6 tu


Unaendeleaje na Ubunge umeshafukuzwa uanachama?. Mahakamani hata Zitto Kabwe alienda, Ila mwisho wa siku alikimbia.

Speaker kashasema wanasubiri mchakato wa Chadema , ili wafanyeje maamuzi.
 
Acha aje apiganie ruzuku, halafu kwa Sasa join the chain erythrocyte kasema Kuna 12m nadhani lissu keshajua Kuna mpunga.
Karibu lissu karibu Amsterdam.

Hata ingekuwa laki moja lakini chama kimeonesha uhai.
 

Wale wasichana walifanya maamuzi ya kijinga wakiangalia upepo wa uchaguzi mkuu na kuona CHADEMA haitainuka Tena. Wakiangalia maslahi yao binafsi.
 
N
Hawawezi kwenda mahakamani, maana itadhihirika kwamba walipata ubunge kinyume Cha sheria.
 
Kama huyu hapa

 
Hilo ndio lilikuwa linasubiriwa sijui kwa nini limechukua muda mrefu hivyo

Lakini Lisu mjanja mno alipoteza Passport anakuja kafyata Taratibu za kisheria kuipata akaona nauli ya kuja hana na pesa za kukaa nchini hana akaona watumie gia ya kuja kwa akili ya kikao cha baraza kuu ili alipwe na Chadema kila kitu.

Huo mkutano wangefanya hata kwa teleconference mbona join the chain wanafanya bila kukutana uso kwa uso?
Anyway ni mambo jema katiba ya Chadema imezingatiwa hili ndilo tulipiga kelele sana ila Mnyika na Mbowe walikuwa vikwazo hawataki kuitisha baraza kuu sijui kwa nini
 
Gaidi yule Mkuu we ngoja uone mwisho wake ndio utashangaa
Shetani anakudanganya kuwa anakupenda sana, ila hautajua jinsi atakavyokutosa na mwisho wa yote hautakuwa na kulia nae.
 
Tulia si alisema wale 19 wote ni halali? Leo anasubiri nini sasa kutoka CDM?
Ni halali ndiyo mpaka pale CHADEMA itakapomthibitishia kuwa siyo halali! Binti ni mwanasheria huyu huwa hatoi majibu yanayoweza kuja kumfunga baadaye
 
Acha aje apiganie ruzuku, halafu kwa Sasa join the chain erythrocyte kasema Kuna 12m nadhani lissu keshajua Kuna mpunga.
Karibu lissu karibu Amsterdam.

12m ni mpunga wa kumrudisha nchini, au ww ni mzee uliyestaafu nini? Maana mstaafu hata ukimpa laki mbili kwake anaona ni mpunga mrefu.
 
tatizo lipo kwa makamu mwenyekiti maana hatakuja wanapiga porojo tu lissu haji nchi leo wala kesho
 
Nadhani Mbowe na Mnyika wana maslahi fulani kwa wale covid 19!
 
tatizo lipo kwa makamu mwenyekiti maana hatakuja wanapiga porojo tu lissu haji nchi leo wala kesho
Lisu anakuja tena kwa kugharamiwa na serikali.

Usikariri bwashee mambo yameshabadilika!
 
s
asa wewe wa la 4b unaweza kubishana na phd? kwanza sheria hujui usifikiri yule spika ni kilaza anajuwa wapi pa kuchomokea na angekuwa nje ya sheria chadema wangekuwa wameshaenda mahakamani lakini wamekaa kimya ujue walikoroga wenyewe
 
Wakiwaacha hawa 19 wakaendelea, chances ni kwamba hata kwenye Bunge lijalo la 2025-2030 hawa watgombea na kupata ubunge. Wakiwafukuza, wajue 2025 hawa watakuwa CCM na watakuwa wabunge kupitia CCM.
CHADEMA kama wanajipenda, wasiwafukuze hawa wabunge, kwani kwa kufanya hivyo, watakuwa wana-jeopardize chance yao ya kupata wabunge wengi 2025. Wasifanye hasira ya mkisi. Mimi nashauri wawaache na Mh. Tundu Lissu naomba zimfikie taarifa hizi
 
NJAA HAINA BAUNSA
CHADEMA HALI YA UCHUMI ITAYUMBA IKIWAFUKUZA HAO WABUNGE NA KAMWE HAWAWEZI KUFANYA HIVYO

Kwa taarifa yako hawachukui ruzuku ya 100m+@month, sasa hao wabunge ndio wanawapa hiyo 100m wanayoikataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…