johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Acha kukariri bwashee.Wakiwaacha hawa 19 wakaendelea, chances ni kwamba hata kwenye Bunge lijalo la 2025-2030 hawa watgombea na kupata ubunge. Wakiwafukuza, wajue 2025 hawa watakuwa CCM na watakuwa wabunge kupitia CCM.
CHADEMA kama wanajipenda, wasiwafukuze hawa wabunge, kwani kwa kufanya hivyo, watakuwa wana-jeopardize chance yao ya kupata wabunge wengi 2025. Wasifanye hasira ya mkisi. Mimi nashauri wawaache na Mh. Tundu Lissu naomba zimfikie taarifa hizi
s
asa wewe wa la 4b unaweza kubishana na phd? kwanza sheria hujui usifikiri yule spika ni kilaza anajuwa wapi pa kuchomokea na angekuwa nje ya sheria chadema wangekuwa wameshaenda mahakamani lakini wamekaa kimya ujue walikoroga wenyewe
Kuna watu humu hawafuatilii mambo kabisa bwashee!Kwa taarifa yako hawachukui ruzuku ya 100m+@month, sasa hao wabunge ndio wanawapa hiyo 100m wanayoikataa?
ni CCM ndiyo wanatuharibia nchi yetu, wanaifanya TZ isiwe na sera madhubuti ya kujitegemea - sasa ghafla bin vuu wamewageukia tena mabeberu kuwa marafiki zao kuwakopa hela.CCM na Mnyika!
Ndivyo mnavyodanganywa eeeeh,huku wenzenu wanazitumbua tu, gaidi asingekuwa analilia sambusa huko mahabusuniKwa taarifa yako hawachukui ruzuku ya 100m+@month, sasa hao wabunge ndio wanawapa hiyo 100m wanayoikataa?
Haya Twende,,,,,,,pacha,pacha,pacha, pacha tumefika?Ila twende mbele turudi nyuma au basi twende mbele
CCM mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga, mambo ya CDM wewe yanakuhusu nini?Acha aje apiganie ruzuku, halafu kwa Sasa join the chain erythrocyte kasema Kuna 12m nadhani lissu keshajua Kuna mpunga.
Karibu lissu karibu Amsterdam.
Huyu ni mwanaume wa shoka hakumuogopa Jiwe alikuja na alimpa vipande vyake na kuondoka huyo ndiyo Lisu AntipasWelcome back Tundu Lissu
Ndivyo mnavyodanganywa eeeeh,huku wenzenu wanazitumbua tu, gaidi asingekuwa analilia sambusa huko mahabusuni
Umenyimwa fursa ya kuingia kupitia viti maalum nini hiko kwenye CHADOMO yako hivyo unawaonea wivu wakina MDEE vile wanavyokibeba Chama kupitia ruzuku zao eeeeeeeh?Huo ndio ukweli, na sio hizo propaganda mfu unazoleta hapa. Kama sio utoto unaleta humu, weka udhibitisho kuwa wanachukua hiyo ruzuku.
Ruzuku tamu sana..NJAA HAINA BAUNSA
CHADEMA HALI YA UCHUMI ITAYUMBA IKIWAFUKUZA HAO WABUNGE NA KAMWE HAWAWEZI KUFANYA HIVYO
WanakataaRuzuku tamu sana..
#MaendeleoHayanaChama
hivi ndugu ukipelekwa pale bungeni ukawe hata mwenyekiti tu wa bunge unaweza kuongoza au utakuwa unatetema tuPhD bongo, tena ya mwanamke. Kama PhD ndio kutema pumba za vile, bora nibaki na haka kadegree kangu.
Alikuja wakati Mwendazake yupo umesahau?tatizo lipo kwa makamu mwenyekiti maana hatakuja wanapiga porojo tu lissu haji nchi leo wala kesho
Umenyimwa fursa ya kuingia kupitia viti maalum nini hiko kwenye CHADOMO yako hivyo unawaonea wivu wakina MDEE vile wanavyokibeba Chama kupitia ruzuku zao eeeeeeeh?
hivi ndugu ukipelekwa pale bungeni ukawe hata mwenyekiti tu wa bunge unaweza kuongoza au utakuwa unatetema tu
Kachukue ruzuku kubwajinga la CHADOMO, Chama kisichojielewa kinachotumika na mabeberuPunguza utoto dogo.
ccm ni kama kipochi manyoyaTulia si alisema wale 19 wote ni halali? Leo anasubiri nini sasa kutoka CHADEMA?