johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Vunjo anarudi Lyatonga.....huyo Mbatia ataachwa kwenye mataa!Yes, Jiwe kawaahidi kuwapa vitu kadhaa kwa mlanga wa Mbatia alipokutaba naye. haya mambo hayana siri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vunjo anarudi Lyatonga.....huyo Mbatia ataachwa kwenye mataa!Yes, Jiwe kawaahidi kuwapa vitu kadhaa kwa mlanga wa Mbatia alipokutaba naye. haya mambo hayana siri!
Mkuu ule ni Usajili wa mkopo...kama mshahara unatoka Simba tatizo ni lipi kucheza Toto? cha msingi si ni posho bwa sheeNiwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.
Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo sana Wilfred alishavuka hizo level.
Hata kwa Selasini mambo ni yale yale unatoka Simba unaenda kujisajili kwa mtoto wa Yanga... Toto Afrika ya Mwanza.
Maendeleo hayana vyama!
NCCR na CUF ni vitengo ndani ya CCM vye jukumu la kuhujumu upinzani wa kweliNiwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.
Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo sana Wilfred alishavuka hizo level.
Hata kwa Selasini mambo ni yale yale unatoka Simba unaenda kujisajili kwa mtoto wa Yanga... Toto Afrika ya Mwanza.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 CDM itaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani?Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.