Wabunge wa CHADEMA kuhamia NCCR/ CUF ni sawa na mchezaji mahiri kuhama Simba kwenda Toto Africans badala ya Yanga!

Mpinzani unatoka chama cha upinzani unaenda kuwa mpinzani huo si ufala wa hali ya juu ..
 
Mkuu ule ni Usajili wa mkopo...kama mshahara unatoka Simba tatizo ni lipi kucheza Toto? cha msingi si ni posho bwa shee
 
NCCR na CUF ni vitengo ndani ya CCM vye jukumu la kuhujumu upinzani wa kweli
 
Kwani baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 CDM itaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani?

Si ajabu wao ndiyo wameamua kwenda chama kikuu cha upinzani kifuatiacho baada ya uchaguzi ufatiao.
 
Shukrani sana M. Melo kwa kutuletea ignore Option. Hawa mbuzi wa lumumba kina mbuzi jike Bia yetu na changudoa wa Malunde sasa hivi hawanipi tabu

Much respect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…