Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema

"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."



 
Wale watetezi wa kweli wa Wananchi Wabunge wa Chadema, baada ya kushawishi bunge kuwa ni hatari vikao kuendelea bila kuwapima wabunge na watumishi wa bunge afya zao bila mafanikio hadi wabunge 3 akiwamo waziri kufariki ndani ya siku zisizo zidi 10 wameamua kutoshiriki vikao vya bunge Ila wataendelea kuwapo Dodoma kwa shughuli zingine za kibunge.

Lema alionya kuwa corona itakapo anza kukamua wabunge watapoteana na sasa ina KAMUA KWELI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa." Mhe. @esteramosbulaya
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
 
denooJ
Bora walivyoamua hivyo.........

Ni vyema wakasalimisha uhai wao, kuliko kumsikiliza Jiwe, aliyesema kuwa endeleeni tu kuchapa kazi!

Wakati yeye "kajificha" Chato!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…