Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema

"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."

Bulaya.JPG


IMG-20200501-WA0017.jpg
1588323957968.png
 
Wale watetezi wa kweli wa Wananchi Wabunge wa Chadema, baada ya kushawishi bunge kuwa ni hatari vikao kuendelea bila kuwapima wabunge na watumishi wa bunge afya zao bila mafanikio hadi wabunge 3 akiwamo waziri kufariki ndani ya siku zisizo zidi 10 wameamua kutoshiriki vikao vya bunge Ila wataendelea kuwapo Dodoma kwa shughuli zingine za kibunge.

Lema alionya kuwa corona itakapo anza kukamua wabunge watapoteana na sasa ina KAMUA KWELI
Screenshot_20200501-111318.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa." Mhe. @esteramosbulaya
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
 
Salaam Wakuu.

Taarifa niliyopenyezewa hivi punde inasema wabunge wa Chadema kwa pamoja wameamua kubaki nyumbani ili kujilinda na janga la Corona linaloitingisha nchi yetu kwa sasa.

Naona Esther Bulaya ame tweet, na page ya Bavicha pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
denooJ
Bora walivyoamua hivyo.........

Ni vyema wakasalimisha uhai wao, kuliko kumsikiliza Jiwe, aliyesema kuwa endeleeni tu kuchapa kazi!

Wakati yeye "kajificha" Chato!
 
Back
Top Bottom