Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Vita ni vita tu,

Hii nayo ni vita, inapaswa waache kujiita makamanda na kuvaa magwanda kwakua vita hawaviwezi hawa, kwenye amani wanajiita makamanda vita ikija wanakimbia uvunguni mwa kitanda, haha, makamanda uchwara wa chadema.
Mbona Magu kajificha uvunguni mwa kitanda Chato? Hata kukaa tu Dar anaogopa au Dodoma
 
denooJ,
Pongezi kwao. Ila nilidhani busara ilikuwa kutokushiriki vikao tangu mwanzo kuonesha msimamo na kuonesha njia. Hii ya sasa inaweza tafsiriwa kuwa ni kama kukimbiza 'mbawa' zao baada ya kuona hali tete, kama alivyofanya yule jamaa.

Ilikuwa ni suala la muda tu kabla haya hayatokea. Ndio maana wengine tulimshangaa Ayubu aliposema mwanzo kwamba watachukua tahadhari.

denooJ,
Pongezi kwao. Ila nilidhani busara ilikuwa kutokushiriki vikao tangu mwanzo kuonesha msimamo na kuonesha njia. Hii ya sasa inaweza tafsiriwa kuwa ni kama kukimbiza 'mbawa' zao baada ya kuona hali tete, kama alivyofanya yule jamaa.

Ilikuwa ni suala la muda tu kabla haya hayatokea. Ndio maana wengine tulimshangaa Ayubu aliposema mwanzo kwamba watachukua tahadhari zote. Corona sio poa!
 
Wo shi niubi,
Wewe utakuwa kula kulala unasema watu wasitoke hujui kuwa kuna watz asipotoka maana yake nyumbani kwake hawali?

Pia unaposema watu wasisafiri kwenda mikoani hivi unajua kuwa vyakula vyote vinavyoliwa vinatoka mikoani? Na ili ufipate hapo Dar lazima watu wafifuate mikoani? Aubiri mzazi wako alete chakula ule kijana!
 
wafukuzwe ubunge, hao wanalipwa kwa kodi zetu, wachape kazi wananchi waliyowatuma
 
Ni jambo jema sana. Huu ni wakati wa mtu mmoja mmoja na taasisi mbalimbali kuchukua hatua.

Kama watasubiria kuambiwa, wataangamia. Mwenzao kajifungia lakini anawaambia wenzake wachape kazi. Yakitokea, yeye kazi yake ni ndogo tu - kuandika barua za pole.

Ndugai, tumia akili yako. Yakikupata, atakachokufanyia, ni kutuma barua ya rambirambi kwa familia yako.

Lazima uwe mpumb.avu sana, kumwamini mtu ambaye yupo kilimani akikulazimisha wewe uvuke mto wenye kina kireru na mawimbi makali kwa miguu wakati yeye hataki kuuvuka hata kwa boat. Nawasihi wabunge na watumishi wa sekta ya umma, tumieni akili zenu za kuzaliwa.

Wakati huu kama kungekuwepo na viongozi wazalendo wa vyama vya wafanyakazi ambao wapo kwa maslahi ya wafanyakazi ilikuwa muda sahihi wa kuwalinda wanachama wao. Lakini kwa bahati mbaya, viongozi wa vyama vya wafanyakazi, nao ni wanafiki, watumikia matumbo yao, hawana habari na maisha ya wanachama wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakujua haya Kabla ?

Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Umesoma ukamaliza na kuelewa walichoamua? Wametamka kuwa watajiweka kwenye karantini huko huko Dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakujua haya Kabla ?

Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Watu kama nyie ndiyo huwa mnavuruga mijadala pasipo sababu yoyote.Soma.kwanza ujumbe mzima,kisha tafakari na uchangie sasa kwa maandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kama nyie ndiyo huwa mnavuruga mijadala pasipo sababu yoyote.Soma.kwanza ujumbe mzima,kisha tafakari na uchangie sasa kwa maandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nishajibu hili ila sababu na wewe haujasoma majibu kabla ya kujibu tajibu tena...

Duh Aiseee..., hivi unajua hii habari ilikuja mwanzo kama tetesi ?

Pia hata kama wameamua sasa hivi hawakujua hayo tangia mwanzo kwamba kuwa kwao hapo ni hatari na matatizo ?, Ingawa better late than never ila wabunge wote (politicians are two sides of the same coin)...

Hili Jambo tangia mwanzo kulikuwa hakuna sababu ya kwenda Dodoma (wengi tunaona kilichowapeleka huko labda ni posho)..., anyway in this day and age wangeshindwa kufanya hio mikutano kwa kutumia teleconference ?

Hata hizo siku 14 hazitoshi kwa self quarantine how do they know the risk wont happen in day 13.... au una uhakika hizo self quarantine zitakuwa kweli na hawatatoka ?
 
Kwanza hawana taarifa za kutohudhuria kwasababu hawamo kwenye group la WhatsApp la Wabunge wa Chadema! Hivyo wasilaumiwe!
 
Mengine tueke pembeni huyu Ester ni mzuri jamani dah wakubwa wanafaidi
 
Huu ni msimamo wa CDM,hao wa NCCR huu msimamo hauwahusu
 
Lakini siyo ile hotuba ambayo Mbowe uliitoa nje ya Bunge, it was a misfire! Ulishindwaje kutoa maoni kama hayo ndani ya bunge wakati siku hiyo kulikuwa na majadiliano ya wizara ya afya? Au ni kuigiza ku-command taifa wakati huna instruments.

Ungesikia- mwongozo, mwongozo. Ni speed or popularity check!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani bunge lina mawaziri wa wizara zote na waziri mkuu ndani wanashindwa kuamua kupima wote corona? Wao wako 350 kipimo cha corana jana waziri wa afya kawaambia kinapima watu 500 kwa siku, wanashindwaje kupimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…