Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mbona Magu kajificha uvunguni mwa kitanda Chato? Hata kukaa tu Dar anaogopa au DodomaVita ni vita tu,
Hii nayo ni vita, inapaswa waache kujiita makamanda na kuvaa magwanda kwakua vita hawaviwezi hawa, kwenye amani wanajiita makamanda vita ikija wanakimbia uvunguni mwa kitanda, haha, makamanda uchwara wa chadema.