Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kususa ni tabia ya watoto? Hivi YESU alivyosema kuwa "waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa kuwa ufalme wa mbinguni ni wao" alikosea? Au wanaowaita watoto wadogo "malaika" huwa hawaujui udhaifu huo wa watoto?Mkui tabia ya watoto ni
Aisee nimemuona ni mpuuzi na mjinga,hivi vita dhidi ya Corona inapambanwa mtaani!Kwamba ukijifungia ndani umekwepa vita dhidi ya Corona😨😨😨😨😠😠😠😠!Ujinga ni silaha pia,japo yakuangamiza huku ukiona.Wenye ufinyu wa tafakuri wataamini ulichoweka jukwaani.
Kwa sheria ipi watafukuzwa bungeni na kuvuliwa ubunge wao??Wakifukuzwa ubunge na kukosa mafao wasije kulia lia baadae .
Hakuna viongozi wanaopambana na corona mitaani! Acha kutulisha matango pori ndo mlivyozoea ccm.Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Wabunge wa Chadema wameweka silaha chini za vita dhidi ya corona mitaani wametoroka wameenda kujifungia ndani yaani Lockdown .
Mitaani wamewaachia na kuwazitia wanachama wao ndio wapambane NATO
Kuwa wao watakuwa wanauliza tu wanachama wao kwa simu au kwa watsap kuwa vipi vita ya corona huko mitaani inaendeleaje wakiwa vyumbani!!!!
Hawa ndio hupenda kujiita makamanda huku wakivaa nguo za jeshi la mgambao!!!
We ujamuona mungu wenu aliyejificha gamboshi baada ya kutelekeza chombo mkondo wa nungwi abiria watajijua wenyeweUkistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Wabunge wa Chadema wameweka silaha chini za vita dhidi ya corona mitaani wametoroka wameenda kujifungia ndani yaani Lockdown .
Mitaani wamewaachia na kuwazitia wanachama wao ndio wapambane NATO
Kuwa wao watakuwa wanauliza tu wanachama wao kwa simu au kwa watsap kuwa vipi vita ya corona huko mitaani inaendeleaje wakiwa vyumbani!!!!
Hawa ndio hupenda kujiita makamanda huku wakivaa nguo za jeshi la mgambao!!!
Walishazoea kila kitu ni polisi na wasiojulikana,hii Vita ya akili sio buti na gwandaAisee nimemuona ni mpuuzi na mjinga,hivi vita dhidi ya Corona inapambanwa mtaani!Kwamba ukijifungia ndani umekwepa vita dhidi ya Corona😨😨😨😨😠😠😠😠!
Ikulu iko kila mkoa yuko ikulu.chatoMagufuli anafanya nini Chato? Kawambia wajinga wafanye kazi yeye kajilockdown chumbani kwake.
Kigogo anasema mtu kama wewe eti ni mavi ya popo!!!!!!😂😂😂😂Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Wabunge wa Chadema wameweka silaha chini za vita dhidi ya corona mitaani wametoroka wameenda kujifungia ndani yaani Lockdown .
Mitaani wamewaachia na kuwazitia wanachama wao ndio wapambane NATO
Kuwa wao watakuwa wanauliza tu wanachama wao kwa simu au kwa watsap kuwa vipi vita ya corona huko mitaani inaendeleaje wakiwa vyumbani!!!!
Hawa ndio hupenda kujiita makamanda huku wakivaa nguo za jeshi la mgambao!!!
ChatoyorkIkulu iko kila mkoa yuko ikulu.chato
Hawawezi, mods nao ni ccm
Huwezi ukawa mwanachadema kwa maana ya mwanachama au shabiki Kisha unaendelea kuwa mjinga na mpumbuvu.wanachadema wameshajilock down muda mrefu sana,binafisi nina mwezi nipo ndani,duka la mke wangu nilifunga 35 days agoUkistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Wabunge wa Chadema wameweka silaha chini za vita dhidi ya corona mitaani wametoroka wameenda kujifungia ndani yaani Lockdown .
Mitaani wamewaachia na kuwazitia wanachama wao ndio wapambane NATO
Kuwa wao watakuwa wanauliza tu wanachama wao kwa simu au kwa watsap kuwa vipi vita ya corona huko mitaani inaendeleaje wakiwa vyumbani!!!!
Hawa ndio hupenda kujiita makamanda huku wakivaa nguo za jeshi la mgambao!!!
mpuuzi tu huyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] vipi wabunge wa ccm wapo mitaa ipi wakijumuika na Wananchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mkeo alikuwa na duka la nini ulilofunga asipate corona? Maduka yako mengi madanguro pia ni maduka hayo ndio hatari kwa MTU kupata corona. Lakini ya nguo, chakula nk yanaendelea kama kawaida hilo duka la mkeo lilikuwa la kuuza nini? Mpaka ulifunge kwa hasira ya kuogopa kupata corona?Huwezi ukawa mwanachadema kwa maana ya mwanachama au shabiki Kisha unaendelea kuwa mjinga na mpumbuvu.wanachadema wameshajilock down muda mrefu sana,binafisi nina mwezi nipo ndani,duka la mke wangu nilifunga 35 days ago