Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Mkui tabia ya watoto ni
Kususa ni tabia ya watoto? Hivi YESU alivyosema kuwa "waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa kuwa ufalme wa mbinguni ni wao" alikosea? Au wanaowaita watoto wadogo "malaika" huwa hawaujui udhaifu huo wa watoto?

Kwa ivo sisi Tanzania enzi wa Mwalimu tulivyowasusia Makaburu wa Afrika ya kusini tulikuwa tunafanya utoto!?
 
Ujinga ni silaha pia,japo yakuangamiza huku ukiona.Wenye ufinyu wa tafakuri wataamini ulichoweka jukwaani.
Aisee nimemuona ni mpuuzi na mjinga,hivi vita dhidi ya Corona inapambanwa mtaani!Kwamba ukijifungia ndani umekwepa vita dhidi ya Corona😨😨😨😨😠😠😠😠!
 
Hakuna viongozi wanaopambana na corona mitaani! Acha kutulisha matango pori ndo mlivyozoea ccm.

Mwenyekiti wenu anavipigia wapi hivyo vita? Mnaleta taarab kwenye issue serious.
 
We ujamuona mungu wenu aliyejificha gamboshi baada ya kutelekeza chombo mkondo wa nungwi abiria watajijua wenyewe
 
Kigogo anasema mtu kama wewe eti ni mavi ya popo!!!!!!😂😂😂😂
 
Huwezi ukawa mwanachadema kwa maana ya mwanachama au shabiki Kisha unaendelea kuwa mjinga na mpumbuvu.wanachadema wameshajilock down muda mrefu sana,binafisi nina mwezi nipo ndani,duka la mke wangu nilifunga 35 days ago
 
Nimeongea na mmoja wa wabunge ananiambia hofu waliyo nayo ni kubwa kiasi cha kujiona takataka maana wakati wowote unawaza unaweza kuwa kwenye jeneza..

Anasema maamuzi waliyo fanya chadema yalitakiwa yafanyike kwa bunge zima mapema kabisa.

Anasema tatizo hawana ujasiri huo kwa sababu kiongozi wao kasema wachape kazi.

Anasema hata spika ukimwuliza anatamani naye akakae kwake hata huko dodoma kwa sababu hali ya sasa inatishia mustakabali wote wa kuishi.


Sasa sijui nani jasiri atamfunga paka kamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi ukawa mwanachadema kwa maana ya mwanachama au shabiki Kisha unaendelea kuwa mjinga na mpumbuvu.wanachadema wameshajilock down muda mrefu sana,binafisi nina mwezi nipo ndani,duka la mke wangu nilifunga 35 days ago
Huyo mkeo alikuwa na duka la nini ulilofunga asipate corona? Maduka yako mengi madanguro pia ni maduka hayo ndio hatari kwa MTU kupata corona. Lakini ya nguo, chakula nk yanaendelea kama kawaida hilo duka la mkeo lilikuwa la kuuza nini? Mpaka ulifunge kwa hasira ya kuogopa kupata corona?
 
Hao wabunge wanajifungia siku 14 ugonjwa bado upo upo sana, sasa zikiisha hizo 14 sijui wataongeza?
Lakini bado kuna hitaji la mwili kwa wale walioolewa au hajaolewa na waliowa na wasiowa, watakuwa na michepuko mitaani wanaitwa sehemu walioji isolate sasa iyo michepuko si itainhia na corona au mchepuko nao utakaa karantine siku 14 ndo mambo yaendelee?
Nawaza tu sijui itawezekana? Hii ndo inaitwa hakuwahi kuwa na demu lakini kafa na ngoma, tunasubili kuona.
 
YEHODAYA,
Wameenda kukaa karantini kwa siku 21 kama utaratibu wa afya unavyotaka sasa ww ulikuwa unatakaje?

Wamekaa sehemu ambayo watu 3 wamekufa ni bora kwenda kujiangalia kuliko kuambukiza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…