Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Kwa akili hizi Magufuli yuko sahihi kuwarudisha aliowafukuza na kuwananga hadharani. Yaani wewe ni Mbunge na ulitegemea umrithi Mahiga? Si bora Maderu mara 100?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni wasanii tu
Wabunge wao wanazurura hovyo tu hapa Dodoma
 
Kumradhi mkuu... kwani hiyo Lockdown ako ni nini?
 
Endekezeni SIASA na kejeli,,,,watu wanapukutika,,,,binafsi Nimeji Lock down kitamboo,,,,nimechukua kiasi cha akiba yangu nunua mahitaji,,,,ninefunga milango inaweza kata 3 days sijatoka nje ya NYUMBA and no vistors alowed ,,,just reading books,,na kuset plans
 
Watu wanajilockdown wenyewe mmoja mmoja, watabaki wale ambao kujichanganya kwao mtaani ndo kula yao ya siku kwa siku.
Biashara nyingi zinafungwa na wamiliki kuamua kupisha corona ipite. Tayari wafanyakazi wengi wa sector binafsi wameanza kupoteza ajira.
Corona ni mdudu mbaya sana.

excl : kuna kadada nilibanduaga zamani halafu tukaja kuachana, kananipigia sana sim za mizinga kwavile kamepoteza ajira baada ya boss kufunga duka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utatoka mwenyew ,hizo michele, unga sijui mafuta yataisha na utarudi barabarani kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taja hata taasisi tano private wamezofunga hapa dar kisa korona

Narudia tena taja kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tulp lockdown tangu March, kabla ya siku tatu za maombi.
Katika jambo la kipuuzi ambalo cdm wamelifanya ni kulilia lockdown bila kufanya utafiti watu wengi wanataka nini..
Huku mitaani watu wanakesha wakiomba jpm asibadili msimamo ili waendelee kupambania maisha yao. Wanawaona viongozi wa cdm ni wabinafsi na wenye choyo sana.
Mkidhani mnaishusha CCM,kumbe mnajifuta mioyoni mwa watu wachache waliobaki wakiwaunga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mmh
Hongera saana washawishi wenzako pia ili CCM wafe kwa koronaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifuate kila unalosikia kwa Mbowe, mwenzako ana kipato Cha kumuwezesha kujikimu hata wakati wa "lockdown".
 
Wakikubali uje unistue hao viumbe nawajua, nguvu zao zimo midomoni tu.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa mna haki ya kuyalinda maisha yenu muwapo bungeni bila ya kuvunja sheria.

Ni ukweli pia bunge linaloendelea sasa jijini Dodoma linafanya hivyo kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge.

Lakini ni ukweli ulio wazi kuwa Corona ni janga na halijaja kwa mujibu wa sheria.

Hivyo basi, mimi Yohana nawashauri mtafakari kwa upya uamuzi wenu wa kujiweka katika karantini isiwe kwamba mnaufanya kinyume cha katiba ya nchi na kanuni za bunge mlizojitungia wenyewe.

Sidhani kama ikimlazimu Spika Ndugai awafukuze wabunge wote wa Chadema kwa mujibu wa kanuni za bunge anaweza kuzembea kutumia fursa hiyo.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Mafao na uhai kipi bora we mfuasi wa kibwetere unajaza sever za Jf bure ...uwezo wa kufikiri bado mdogo

Wewe uliambia kazi ya ubunge nimafao tu...akiri za umaskini hiizi zinawatesa mataga party
 
Tuliwaonya Chadema

Mbowe atavuliwa nguo hadharani safari hii

Kwanini Mbowe hakuomba ushauri wa kisheria kwa msomi lissu?
 
Mafao na uhai kipi bora we mfuasi wa kibwetere unajaza sever za Jf bure ...uwezo wa kufikiri bado mdogo

Wewe uliambia kazi ya ubunge nimafao tu...akiri za umaskini hiizi zinawatesa mataga party
Subiri umsikie Mbowe kesho anaongea na waandishi wa habari.

Weka akiba ya maneno........mikopo itawarejesha bungeni!
 
Wana JF, Nilikuwa nawaza hawa wabunge waliogoma wakaingia bungeni badala ya kuji Karantine wenyewe sasa walimugomea mwenyekiti au waligomea chama?

Nini maana ya kujiudhuru nafasi walizonazo wakati muda wa kuachia bunge ndo kama mwezi moja umebaki? Mungu atulize upepo huu sio mzuri.
 
Kwa kuwa Rais hajatoa amri ya lockdown hadi sasa kwenye mapambano ya Corona. Nashauri Mwenyekiti wa CHADEMA atoe Amri ya lockdown kwa wapiga kura wake wote nchini ili CCM ione kuwa hawana watu kama chama chetu.

Nina uhakika CHADEMA chama cha "UMMA" kikisema tu, na kwa jinsi kinavyokubalika, kesho tu Barabara zote zitakuwa nyeupeeee maana wapiga kura wetu wote watakuwa wamejifungia ndani.
Response ya wananchi itasaidia pia kwa chama kujipima nguvu na kuithibitishia dunia kuwa huwa tunaibiwa kura
 
Sawa kuanzia sasa nenda lockdown 14 days.. ninaamini walioajiriwa hawatafukuzwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…