Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kwa akili hizi Magufuli yuko sahihi kuwarudisha aliowafukuza na kuwananga hadharani. Yaani wewe ni Mbunge na ulitegemea umrithi Mahiga? Si bora Maderu mara 100?Habari za asubuhi ndugu zangu Leo ni siku ya tatu tangu kiongozi wa CHADEMA Mbowe kutangaza kuwa watakuwa karantini katika kupambana na korona . Nitumia fursa hii kuwashauri wafuasi wakereketwa wa CHADEMA waunge mkono juhudi za kiongozi wao huyu . hii itakuwa na faida zifuatazo.
Itasaidia kumpa moyo kiongozi wao kuwa anaweza kuifanya serikali iwajibike ipasanyo.
Itasaidia kuwaokoa wafuasi wa chadema kufa kwa wingi kwa korona kwa kuwa watakuwa wapo lock down na kwa kuwa wafuasi wa CCM wengi watakufa kwa korona watabakia wachache hivyo CHADEMA watabaki wengi na kushinda uchaguzii.
Itasaidia kupata uhalisia wa ni chama kipi kinawafuasi wengi ? Kwa maana kila chaguzi tinasikia malalamiko ya kura kuibiwa sasa iwapo wataji lockdown tutajua kuwa wao ni wengi maana mtaani patakuwa patupu.
Itasaidia kuiyumbisha serikali hii ya CCM kimapato kwa kuwa shughuli nyingi za kiuchumi zitasimama na itapelekea serikali kuwapigia magoti na kukubali masharti yenu.
Nawasihi wafuasi wa CHADEMA msimuache kiongozi wenu na wabunge wenu peke yao unganeni nao ili kuiokoa nchi hii. Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app