Mnapojadili lockdown mjadili na jinsi gani ya kuwawezesha wananchi. Niliwauliza siku moja wafuasi wa CHADEMA wanaopigia chapuo kauli ya Mbowe na Zitto ya kutaka lockdown kwamba wanategemea nini kwa wananchi wa maisha ya chini? Hakuna hata mmoja aliyenijibu jibu la kuridhisha zaidi ya wengi kuitaka lockdown kwa mihemko na hisia