Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Usipime kina cha maji kwa miguu yote.
Unforgetable
Unforgetable
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri amri ya "Mwamba" tu. Tuithibitishie dunia kuwa CCM huwa wanatuibia kuraSawa kuanzia sasa nenda lockdown 14 days.. ninaamini walioajiriwa hawatafukuzwa kazi.
Unawatukana viongozi wako wa chadema kwamba hawana akili timamuWenye akilo timamu hawahitaji lockdown. Unaweza jikinga bila lockdown.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walijiongeza na sasa wameongezewa. Maisha yako kasi sana haya.Ni uamuzi wa busara, wameamua kujiongeza, sasa wale wakijani waendelee kutuwakilisha no retreat no surrender.
Rais kasema tuchape kazi yupo nao bega kwa bega.