Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

"Ila Jiwe ni kima kabisa eti watu waendelee kuchapa kazi uku yeye kajificha duh"

Katukimbia aisee, wale wazee wa lumumba wazee wa mapambio wamepotelea wapi ? Tulisema hapa mwez wa tatu wakatushushia matusi aisee. Wapuuz sana ccm na corona ilivyo ya kishenz inatafuna mijitu ya ccm sana ila kinachoniuma imedondosha na ndugu zetu wengi, Majitu ya ccm ndio yametuponza hayawez kupinga kitu akisema magufuli ni mwendo wa ndio mzee daah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawakujua haya Kabla ?

Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...
Hatua zimekuja kwa kuchelewa sana lakini ni bora. Nilitegemea na viongozi wa dini nao wafanye hivyo hivyo lakini wao wanawaza sadaka tu.
 
Safi sana akili kubwa.....acha yabaki mambwa hayo hayana huruma na watz kazi yao kufikilia posho na kumsifia rais etu wapate vyeo......

HONGERA SANA CHADEMA KWA UKOMAVU HUU MNAZIDI KUONYESHA NJIA FOR THE LAST 15 YEARS TUNAWAKUBALI SANA ILA TUME YA UCHAGUZI NA DOLA NDIO TATIZO
 
Uamuzi Wa busara, posho wawaachie wabunge Wa ccm waendelee kuzitwanga vizuri
 
Tetesi nilizopata ni kuwa wabunge wote Wa chadema wanaumwa corona wanaji lock down wajifukizie
bunge lilipaswa kuwapima wabunge wote ili wale wenye
ugonjwa wapelekwe hospitali yaani mpaka wabunge wanakufa kizembe hivi.
 
Wakae nyumbani tu, as kodi zetu zinawapa kiburi hicho.

Ila watambue kwamba, wananchi hawajawachagua ili wakakae nyumbani, waliwachagua ili wakawawakilishe bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…