Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Hivi kichwani umejaa kamasi au? Kama jibu umepewa na bado unafikiria kumlinganisha raisi na majaaliwa au na mtu yeyote yule huoni Kama unajidhihirisha ufahamu wako ni mdogo sana? Raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu awe sawa na mbowe?
We huoni kichwa chako ndiyo kina mavi kabisa
 
Wote wako sahihi.kwanini wafanyakazi wa afya wapoteze maisha kwa uzembe wa watawala.kwanini wabunge waopoteze maisha kwa shughuli ambayo serikali Wala haitilii umuhimu,mipango mingi ya matumizi ya fedha za imma hazingatii bajeti zilizopitishwa,fedha zilizopitishwa zinanaenda Kama asilimia 30.mfanyakaxi wa afya akipata maambuzi Kuna hatari kubwa ya kuwambukiza watu wengi ansowahudumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani anataka mavi yako? Unatafuta bwana?
.
20200430214804_1587796495_396_325_webp.jpg
 
Hiyo sio just thinking aloud ni just thinking stupidly!
 
Just thinking aloud:

Baadhi ya wauguzi na watumishi wengine wa afya mahospitalini wakiwemo madaktari tumeambiwa wamekuwa wakikimbia vituo vyao vya kazi kuogopa kuambukizwa gonjwa hili hatari la corona. Hali hii imechangiwa zaidi kwa watumishi hawa kutopewa vifaa vya kujikinga na maambukizi haya, yaani PPE (personal protective equipment). PPE is not just a mere mask! It is more than that.

Tumeambiwa pia kuwa wabunge wa Chadema wamekimbia kituo chao cha kazi kwa kuogopa kuambukizwa gonjwa hili hatari. Tumeambiwa kuwa wabunge hawa wameenda kuji lockdown kabisa kabisa majumbani kwao hadi gonjwa hili litakapotoweka duniani. Wabunge hawa wakiwa kituoni kwao kazini hupatiwa barakoa za N95 free of charge, wakati wale wauguzi hospitalini hulazimika wengi wao (hasa wa hospitali za binafsi) kujinunulia barakoa zao za kiwango cha chini kwa bei ya sh 3,000/.

Sasa tofauti ni ipi kati ya wabunge hawa na wauguzi hawa ambao tunaamini wote wako kwenye frontline katika vita hii dhidi ya nduli Corona? Mbona wote wame-retreat siyo backline bali backhome?
Tofauti kubwa kwa wenye akili, wauguzi wanaokimbia kazi zao ni wajinga hawajui majukumu yao, hawapaswi kuwa na kibali cha kutibu. Wabunge wa Chadema wanatumia busara kama nchi nyingine zote zenye busara na kufuata maelekezo ya WHO, hao wanaojifanya miamba ya korona na kuendelea na bunge ni wajinga kama wananchi wengi wanaopinga lockdown, wapumbavu kama viongozi wa Brazil ambako wanakufa kuliko Italia baada ya kudharau korona na kupinga lockdown. Hao wabunge wanaojifanya miamba ndiyo wataopata Korona na kusambaza kwenye majimbo yao vijijini, ndio hapo mtakapo jiona wapumbavu wa mwisho na nchi kupigwa lockdown na dunia nzima.
 
Just thinking aloud:

Baadhi ya wauguzi na watumishi wengine wa afya mahospitalini wakiwemo madaktari tumeambiwa wamekuwa wakikimbia vituo vyao vya kazi kuogopa kuambukizwa gonjwa hili hatari la corona. Hali hii imechangiwa zaidi kwa watumishi hawa kutopewa vifaa vya kujikinga na maambukizi haya, yaani PPE (personal protective equipment). PPE is not just a mere mask! It is more than that.

Tumeambiwa pia kuwa wabunge wa Chadema wamekimbia kituo chao cha kazi kwa kuogopa kuambukizwa gonjwa hili hatari. Tumeambiwa kuwa wabunge hawa wameenda kuji lockdown kabisa kabisa majumbani kwao hadi gonjwa hili litakapotoweka duniani. Wabunge hawa wakiwa kituoni kwao kazini hupatiwa barakoa za N95 free of charge, wakati wale wauguzi hospitalini hulazimika wengi wao (hasa wa hospitali za binafsi) kujinunulia barakoa zao za kiwango cha chini kwa bei ya sh 3,000/.

Sasa tofauti ni ipi kati ya wabunge hawa na wauguzi hawa ambao tunaamini wote wako kwenye frontline katika vita hii dhidi ya nduli Corona? Mbona wote wame-retreat siyo backline bali backhome?
Nani mwamba mbele ya Mzee Corona? Tatizo akikung'ata huugui peke yako bali familia na watu wote unaokutana nao kwa karibu. Wamefanya vyema kuchukua tahadhali bila kujali posho. Ninawapongeza na tusiwabeze. Waswahili wanasema: "Tamaa mbele mauti nyuma".
 
Wale watetezi wa kweli wa Wananchi Wabunge wa Chadema, baada ya kushawishi bunge kuwa ni hatari vikao kuendelea bila kuwapima wabunge na watumishi wa bunge afya zao bila mafanikio hadi wabunge 3 akiwamo waziri kufariki ndani ya siku zisizo zidi 10 wameamua kutoshiriki vikao vya bunge Ila wataendelea kuwapo Dodoma kwa shughuli zingine za kibunge.

Lema alionya kuwa corona itakapo anza kukamua wabunge watapoteana na sasa ina KAMUA KWELIView attachment 1436241

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabunge wameamua kuchukua tahadhali ya afya zao hata wewe ukihisi sehemu fulani kuna hatari ni wazi hautakwenda wakati manesi na madaktari ni wajibu wao kutibu wagonjwa na kama wanakimbia wagonjwa ina maana wamekiuka kiapo chao walichoapa na pia hawastahili kupokea mshahara
 
Hawakujua haya Kabla ?

Kama issue ni hili Janga nashauri wakae huko huko nyumbani (Dodoma) na sio kwenye majimbo yao hence self karantini...

Soma kwanza kabla huja comment
Taarifa iliyotolewa inaonesha watabakia Dodoma

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Soma kwanza kabla huja comment
Taarifa iliyotolewa inaonesha watabakia Dodoma

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tafuta kwanza majibu mengine kabla haujatoa shutuma (habari ilikuja kama news alert bila maelezo zaidi) nishajibu huko juu zaidi ya mara tatu, anyway na kuona tatizo sasa hivi haliondoi makosa waliyofanya kwenda huko in the first place
 
Habari za asubuhi ndugu zangu Leo ni siku ya tatu tangu kiongozi wa CHADEMA Mbowe kutangaza kuwa watakuwa karantini katika kupambana na korona . Nitumia fursa hii kuwashauri wafuasi wakereketwa wa CHADEMA waunge mkono juhudi za kiongozi wao huyu . hii itakuwa na faida zifuatazo.

Itasaidia kumpa moyo kiongozi wao kuwa anaweza kuifanya serikali iwajibike ipasanyo.

Itasaidia kuwaokoa wafuasi wa chadema kufa kwa wingi kwa korona kwa kuwa watakuwa wapo lock down na kwa kuwa wafuasi wa CCM wengi watakufa kwa korona watabakia wachache hivyo CHADEMA watabaki wengi na kushinda uchaguzii.

Itasaidia kupata uhalisia wa ni chama kipi kinawafuasi wengi ? Kwa maana kila chaguzi tinasikia malalamiko ya kura kuibiwa sasa iwapo wataji lockdown tutajua kuwa wao ni wengi maana mtaani patakuwa patupu.

Itasaidia kuiyumbisha serikali hii ya CCM kimapato kwa kuwa shughuli nyingi za kiuchumi zitasimama na itapelekea serikali kuwapigia magoti na kukubali masharti yenu.
Nawasihi wafuasi wa CHADEMA msimuache kiongozi wenu na wabunge wenu peke yao unganeni nao ili kuiokoa nchi hii. Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tulp lockdown tangu March, kabla ya siku tatu za maombi.
 
Back
Top Bottom