Wabunge wa Chadema wanaweza kukosa " bahati" ya kukutana uso kwa uso na Rais Magufuli na kupiga picha ya pamoja hadi bunge linavunjwa!

Mbona juzi mlipeleka ndege kusombelea miti shamba,kwa nchi inayoongozwa na DJ? Au kwa ujinga wako ulikuwa hujui?
 
Yohana naomba utumie Lugha nzuri ya Chadema wazalendo badala ya masalia. Maana hata baada ya bunge kuvunjwa hakuta kuwa na masalia tena.
 
upinzani aliondoka nao dr slaa.akabakiza kidoogo kwa lowasa.lowasa nae kaunga tela.
hawa akina mbowe hamna kitu badala ya kujipanga uchaguzi umefika yeye anazidi kuvuruga.kwisha kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamwambie jiwe maneno hayo kama ajakuchapa makofi.yeye halali kwa ajili ya upinzani uliopo anatamani kuwa malaika.
 
Mh! Picha! kwa prestige ipi na huyo? Hata Trump huwezi kujivunia kupiga picha naye , labda Pope! huyo nitajivunia maana ana haki Ukweli na Umungu ndani yake!
 
Una umri gani wewe ndugu na jinsia yako ni Me au Ke? mbona kama wa darasa la pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna bahati yoyote hapo bahati zilikuwa awamu zilizopita.
 
Along come the devil...must watch movie!

semper fidelis
 
Yaani hiyo.ndio imetoka, ,naamini wameanza kujuta ,hii itatembelea mpaka malipo yao,nakuhakikishia hakuna mbunge atakaye kanyaga tena bungeni kwenye hiyo list tajwa ,move imepangwa ikapangika ,tutaona nani zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ameiweka nchi kwenye ramani ya hovyo sana. matukio ya hovyo,maamuzi ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…