Wabunge wa Chadema wanaweza kukosa " bahati" ya kukutana uso kwa uso na Rais Magufuli na kupiga picha ya pamoja hadi bunge linavunjwa!

Wabunge wa Chadema wanaweza kukosa " bahati" ya kukutana uso kwa uso na Rais Magufuli na kupiga picha ya pamoja hadi bunge linavunjwa!

Kamwambie jiwe maneno hayo kama ajakuchapa makofi.yeye halali kwa ajili ya upinzani uliopo anatamani kuwa malaika.
wabunge watakaorudi bungeni ni lema na sugu tu baas wengine woote watakimbilia mahakamani kupinga matokeo.sasa mtakuwa na serikali gani ya wabunge wawili ?alafu acheni kumwita rais jiwe.sio fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom