Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Tibisii from chato.Live kutokea wapi Boss? Kwa kuchat au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tibisii from chato.Live kutokea wapi Boss? Kwa kuchat au?
wabunge watakaorudi bungeni ni lema na sugu tu baas wengine woote watakimbilia mahakamani kupinga matokeo.sasa mtakuwa na serikali gani ya wabunge wawili ?alafu acheni kumwita rais jiwe.sio freshKamwambie jiwe maneno hayo kama ajakuchapa makofi.yeye halali kwa ajili ya upinzani uliopo anatamani kuwa malaika.
minajua wewe rafiki yangu unawazuga tu hawa jamaa wa kufata upepo ila wewe ni shabiki mkubwa wa magufuli.si ndio?Nenda chato Kamuulize.
Siwezi kuwa mshabiki wa jiwe kwa ujinga anao ufanya..minajua wewe rafiki yangu unawazuga tu hawa jamaa wa kufata upepo ila wewe ni shabiki mkubwa wa magufuli.si ndio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema chama kubwa hata jiwe habishi.wabunge watakaorudi bungeni ni lema na sugu tu baas wengine woote watakimbilia mahakamani kupinga matokeo.sasa mtakuwa na serikali gani ya wabunge wawili ?alafu acheni kumwita rais jiwe.sio fresh
Sent using Jamii Forums mobile app