πππUnajisumbua, bora hao f4 kuliko miprofesa. Nipe mafanikio 2 ya Prof Maghembe. Nchi hii std 7 hanatofauti na prof.
Mfano Kabudi anafanya nini zaidi ya kutoa mate, kutoa macho, kusifu na kuabudu?
Nawe pia ni msomiPendekezo la namna hii lilipelekwa ktk bunge la katiba 2014 lakini halikufua dafu, likafeli, na waliolifelisha ni hao hao wabunge ambao asilimia kubwa ndio waliounda bunge la katiba!!
Ila kiukweli ni aibu sana kwa Taifa letu kwa miaka hii kuwa na wawakilishi bungeni level ya std7 au form4
Ila na sisi wasomi tusiishie kulalamika humu mitandaoni, mwaka ndio huu tukachukue fomu tugombee,, Vilaza kama Kina Steve Nyerere, Harmonize, Wema wanapata ujasiri kwenda front kutangaza nia na usishangae baadhi yao wakaokota dodo October,,, wasomi tunakwama wapi!????
Au ndio tusubiri miujiza ya hao Vilaza eti wakaingie bungeni afu tutegemee wapitishe sheria ya 'kujichinja' ya mgombea Ubunge awe with minimal level of degree or diploma or equivalent..!????
Habari wana Jf,
Naanza kwa kusema ni kweli katiba imeruhusu sifa ya muwakilishi wa wananchi ajue kusoma na kuandika tu na sio degree lakini;
Matatizo ya wabunge ambao hawakupata elimu ya juu katika kujenga hoja na kutoa michango bungeni tumeyaona,wengi wamekuwa wakirusha vijembe na kusema maisha binafsi ya wenzao badala ya hoja za msingi.
Ni kweli kuna lile swali tunalojiuliza "waliosoma wametufikisha wapi"?
Ila natoa tahadhari kama muwakilishi wako wa jimbo kaishia form 4 linapokuja swala la kujadili masuala mazito yanayowahusu kama uchumi ,teknolojia ,mifumo ya elimu,mikataba mikubwa huko bungeni yeye huwa sawa na bubu anachoishia ni kugonga meza tu.
Sidhani kama mtu wa darasa la 7 anaweza kubishana na data za waziri wa fedha wakati hata decimals na percentage kwake ni msamiati
Nadiriki kusema hili limeifanya siasa ya nchi yetu kuwa ya vijembe na sio hoja ndio maana wabunge wetu wanaongea kutengeneza clip na kurushiana maneno mtandaoni.
Elimu inaweza kumpa mbunge urahisi wa kwenda nje na kukutana na wafadhili wakakaa meza moja na kuongea lugha moja ya "kimaendeleo" simaanishi kingereza na wakaelewana.
Tutake tusitake ni lazima tukubaliane na mabadiliko ya karne hii,bila elimu utaburutwa tu
Namalizia kusema sidharau ambao hawajasoma ila najaribu kumtafuta atakayehoji kitu ambacho nnachotamani ahoji.Hata vitabu vya dini vimesema "HAWAWEZI KUFANANA WALIOSOMA NA AMBAO HAWAJASOMA"
Katiba imeruhusu ila sisi wananchi tukataeee "WABUNGE WA STANDARD 7 NA FORM 4 MWISHO 2020"
Qualification entry ya ubunge mtaani iwe ni at least Diploma.

Unajisumbua, bora hao f4 kuliko miprofesa. Nipe mafanikio 2 ya Prof Maghembe. Nchi hii std 7 hanatofauti na prof.
Mfano Kabudi anafanya nini zaidi ya kutoa mate, kutoa macho, kusifu na kuabudu?
Mkuu ungewamulika tuwajue hao wa kujua kusoma na kuandika tu mimi namjua mmoja tu falafala hivi anaitwa msukuma.Ungeweka kaorodha kafupiHabari wana Jf,
Naanza kwa kusema ni kweli katiba imeruhusu sifa ya muwakilishi wa wananchi ajue kusoma na kuandika tu na sio degree lakini;
Matatizo ya wabunge ambao hawakupata elimu ya juu katika kujenga hoja na kutoa michango bungeni tumeyaona,wengi wamekuwa wakirusha vijembe na kusema maisha binafsi ya wenzao badala ya hoja za msingi.
Ni kweli kuna lile swali tunalojiuliza "waliosoma wametufikisha wapi"?
Ila natoa tahadhari kama muwakilishi wako wa jimbo kaishia form 4 linapokuja swala la kujadili masuala mazito yanayowahusu kama uchumi ,teknolojia ,mifumo ya elimu,mikataba mikubwa huko bungeni yeye huwa sawa na bubu anachoishia ni kugonga meza tu.
Sidhani kama mtu wa darasa la 7 anaweza kubishana na data za waziri wa fedha wakati hata decimals na percentage kwake ni msamiati
Nadiriki kusema hili limeifanya siasa ya nchi yetu kuwa ya vijembe na sio hoja ndio maana wabunge wetu wanaongea kutengeneza clip na kurushiana maneno mtandaoni.
Elimu inaweza kumpa mbunge urahisi wa kwenda nje na kukutana na wafadhili wakakaa meza moja na kuongea lugha moja ya "kimaendeleo" simaanishi kingereza na wakaelewana.
Tutake tusitake ni lazima tukubaliane na mabadiliko ya karne hii,bila elimu utaburutwa tu
Namalizia kusema sidharau ambao hawajasoma ila najaribu kumtafuta atakayehoji kitu ambacho nnachotamani ahoji.Hata vitabu vya dini vimesema "HAWAWEZI KUFANANA WALIOSOMA NA AMBAO HAWAJASOMA"
Katiba imeruhusu ila sisi wananchi tukataeee "WABUNGE WA STANDARD 7 NA FORM 4 MWISHO 2020"
Qualification entry ya ubunge mtaani iwe ni at least Diploma.
Kabudi amefanya mambo mengi sana tangu uongozi huu umteue. Na kama huyajui, wewe ni hao dalasa la saba!Unajisumbua, bora hao f4 kuliko miprofesa. Nipe mafanikio 2 ya Prof Maghembe. Nchi hii std 7 hanatofauti na prof.
Mfano Kabudi anafanya nini zaidi ya kutoa mate, kutoa macho, kusifu na kuabudu?
Mambo yanayojadiliwa bungeni yanahitaji elimu . Mtu unamwambia tafuta compound interest after 5 years hajui kitu.Elimu na akili ni vitu viwili tofauti
Nakubaliana 100% na mawazo yako. Zamani sana watu waliokuwa wakimaliza darasa la nane walikuwa na uwezo mkubwa wa kuona mambo ila leo hii shule zetu za msingi haziwajengi vijana wengi, na ndiyo maana mtoto wa darasa la saba anaweza kuwa hajui hata kusoma sawasawa; yaani anajua kusoma neno moja moja lakini hawezi kuelewa alilosoma. Wabunge wa namana hiyo wamesababisha miswada mingi ya serikali kuwa inapita bila kuchambuliwa; mmojawapo ukiwa ni ule uliopelekea uwanja wa mkoa wa Geita kujengwa Chato. Sijui utafanya nini kutekeleza hilo, ila ningekuwa mimi ndiye mtoa mada, ningetaka kila mbunge angalau awe na post secondary certification yoyote kama certificate, diploma au digrii ya aina yoyote ile kutoka chuo kinachotambuliwa.Habari wana Jf,
Naanza kwa kusema ni kweli katiba imeruhusu sifa ya muwakilishi wa wananchi ajue kusoma na kuandika tu na sio degree lakini;
Matatizo ya wabunge ambao hawakupata elimu ya juu katika kujenga hoja na kutoa michango bungeni tumeyaona,wengi wamekuwa wakirusha vijembe na kusema maisha binafsi ya wenzao badala ya hoja za msingi.
Ni kweli kuna lile swali tunalojiuliza "waliosoma wametufikisha wapi"?
Ila natoa tahadhari kama muwakilishi wako wa jimbo kaishia form 4 linapokuja swala la kujadili masuala mazito yanayowahusu kama uchumi ,teknolojia ,mifumo ya elimu,mikataba mikubwa huko bungeni yeye huwa sawa na bubu anachoishia ni kugonga meza tu.
Sidhani kama mtu wa darasa la 7 anaweza kubishana na data za waziri wa fedha wakati hata decimals na percentage kwake ni msamiati
Nadiriki kusema hili limeifanya siasa ya nchi yetu kuwa ya vijembe na sio hoja ndio maana wabunge wetu wanaongea kutengeneza clip na kurushiana maneno mtandaoni.
Elimu inaweza kumpa mbunge urahisi wa kwenda nje na kukutana na wafadhili wakakaa meza moja na kuongea lugha moja ya "kimaendeleo" simaanishi kingereza na wakaelewana.
Tutake tusitake ni lazima tukubaliane na mabadiliko ya karne hii,bila elimu utaburutwa tu
Namalizia kusema sidharau ambao hawajasoma ila najaribu kumtafuta atakayehoji kitu ambacho nnachotamani ahoji.Hata vitabu vya dini vimesema "HAWAWEZI KUFANANA WALIOSOMA NA AMBAO HAWAJASOMA"
Katiba imeruhusu ila sisi wananchi tukataeee "WABUNGE WA STANDARD 7 NA FORM 4 MWISHO 2020"
Qualification entry ya ubunge mtaani iwe ni at least Diploma.
Habari wana Jf,
Naanza kwa kusema ni kweli katiba imeruhusu sifa ya muwakilishi wa wananchi ajue kusoma na kuandika tu na sio degree lakini;
Matatizo ya wabunge ambao hawakupata elimu ya juu katika kujenga hoja na kutoa michango bungeni tumeyaona,wengi wamekuwa wakirusha vijembe na kusema maisha binafsi ya wenzao badala ya hoja za msingi.
Ni kweli kuna lile swali tunalojiuliza "waliosoma wametufikisha wapi"?
Ila natoa tahadhari kama muwakilishi wako wa jimbo kaishia form 4 linapokuja swala la kujadili masuala mazito yanayowahusu kama uchumi ,teknolojia ,mifumo ya elimu,mikataba mikubwa huko bungeni yeye huwa sawa na bubu anachoishia ni kugonga meza tu.
Sidhani kama mtu wa darasa la 7 anaweza kubishana na data za waziri wa fedha wakati hata decimals na percentage kwake ni msamiati
Nadiriki kusema hili limeifanya siasa ya nchi yetu kuwa ya vijembe na sio hoja ndio maana wabunge wetu wanaongea kutengeneza clip na kurushiana maneno mtandaoni.
Elimu inaweza kumpa mbunge urahisi wa kwenda nje na kukutana na wafadhili wakakaa meza moja na kuongea lugha moja ya "kimaendeleo" simaanishi kingereza na wakaelewana.
Tutake tusitake ni lazima tukubaliane na mabadiliko ya karne hii,bila elimu utaburutwa tu
Namalizia kusema sidharau ambao hawajasoma ila najaribu kumtafuta atakayehoji kitu ambacho nnachotamani ahoji.Hata vitabu vya dini vimesema "HAWAWEZI KUFANANA WALIOSOMA NA AMBAO HAWAJASOMA"
Katiba imeruhusu ila sisi wananchi tukataeee "WABUNGE WA STANDARD 7 NA FORM 4 MWISHO 2020"
Qualification entry ya ubunge mtaani iwe ni at least Diploma.
Mkuu ungewamulika tuwajue hao wa kujua kusoma na kuandika tu mimi namjua mmoja tu falafala hivi anaitwa msukuma.Ungeweka kaorodha kafupi
sisi wa chini ya form 4 tunaweza kuwafanyizia ohh nyie endeleeni na hizo degree zenu- kwanz anchi hii hata milioni hamfiki halafu mnajimwambafai hapa-TUHESHIMIANEHabari wana Jf,