Uchaguzi 2020 Wabunge wa darasa la 7 na form 4 mwisho 2020

Achilia mbali wameisadia nini Nchi hata wao hawajajisaidia kimaisha kama mtu ajiita msomi leo hii akitumbuliwa anaenda kuomba ajira kwa std 7. Takwimu zinaonesha watu walioibadirisha dunia hawakuwa na hizo degree na PhD mnazozitaka hayo ni makaratasi tu sio uhalisia wa kilicho akili mwa mtu na kiongozi anazaliwa
Hoja nzuri lkn tutafakari hawa wanaoitwa wasomi wameisadia nn nchi yao?
 
Paper qualifications zimekuwa majanga kwa Afrika badala ya kuwa msaada, hiyo mijadala ya kiuchumi inajadiliwa vizuri Zaidi na wasiokuwa na uelewa mkubwa kuliko waliokuwa nao. Hao maprofessa ndiyo wanatuambia uchumi umepaa , huwa sielewi wanamaanisha nini hasa
 
Natamani huu uzi uishi milele kila mtu ausome.
Hawa wabunge wa CCM lasaba na wa CHADEMA akina LIJULIKALI sasa iwe mwisho, eti wale akina mlinga, lijulikali ndio kamati ya elimu ya juu inaenda kukagua maprofesa wa UDSM, sijui wanaishia kupewa chai na korosho na kurudi Dodoma, abood wa morogoro hajawahi kuongea na bado anachaguliwa tu, yaani nchi imelogwa na kulogeka
 
Wakati mwingine naona hata darasa la saba kuliko hizi PhD za majalalani.
 

Ukiwa CCM, kama wewe ni darasa la 7 au Profesa kimawazo mnakuwa sawa tu. Hivyo Point yako haina mashiko hasa ukizingatia kuwa wabunge wengi ni kutoka CCM. Over!
 
Hivi job ndugui ana kiwango gani cha elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…