Wabunge wa Hayati Magufuli wanaopanga kuleta sintofahamu Bungeni mnatakiwa kutambua ufisadi alifanya aliyewaingiza Bungeni

Wabunge wa Hayati Magufuli wanaopanga kuleta sintofahamu Bungeni mnatakiwa kutambua ufisadi alifanya aliyewaingiza Bungeni

Majangili tupu hko ccm yaan huku kitongojini salasala walijenga karavati na mtaro wa maji just last week.na maelezo ya mkandarasi eti walitumia milion 100....leo maji yamepasua na kusomba kila kitu na mawasiliano yamekatika
Hapo unaweza kuta 4M ndiyo imetumika ile 96M wameigawana bila aibu
 
Mpumbavu kyk ubora wake,ana leta hbr za kujifurahisha yeye na genge lake la majizi. Kwa taarifa yako ,magufuli ni hbr nyingine,peleka huko ujuha na upumbavu wako.
 
Mtajinywea kuhusu mzalendo jpm nyinyi mmeshindwa kila kitu ..mafisadi wakubwa ndiyo maana samia kaona tatizo kaanza kutafuta team jpm na kuipatia nguvu ...siku si nyingi polepole anakuwa mgombea wa urais tz
 
Back
Top Bottom