Tetesi: Wabunge wa kamati ya miundombinu waliotembelea Dubai wote walikabidhiwa nyumba

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
168
Reaction score
819
Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.

Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX V8 LC300 new brand hivi karibuni!
 
Kwani voicer, iamindustrious, anonymous, samurai wao wanasemaje!!?
 
Zukumaa
 
Wakati utasema tu
Maana huwa haudanganyi
 
Hizo nyumba zipo nchi gani!?
 
yaanii inauma saana aisee. nilishangaaa. yanii mbona gafra saana gari Kalihatariii kumbe wamehongwa
 
Samia kauza nchi kwa wajomba zake.
 
Aaahaaaaaa

Mleta mada ingekuwa ndo wewe ungekataa!!?
 
Marehemu aliona hao ndo wazalendo akabaka uchaguzi na kutuwekea majizi wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…