Tetesi: Wabunge wa kamati ya miundombinu waliotembelea Dubai wote walikabidhiwa nyumba

Naye alikuwa mwizi tu. Adui wetu mkubwa ni ccm na katiba ya mwaka 1977
Yule alikuwa mwanaccm mwenye maono shida kwenye hicho chama wana upungufu wa watu dizain yake.

Kinachoendelea sasa hiki ndiyo ccm yenyewe nchi ikifika 2030 hakuna rangi itaacha kuona watakuwa wameimaliza yote.
 
Mtakua mmedanganywa Rushwa yake ni zaidi ya Bilioni sio nyumba moja hapo watu wakichunguzwa akaunti zao za Nje mtapata majibu...
 
Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.

Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX V8 LC300 new brand hivi karibuni!

R I.P Magufuli

Hili ni Bunge la JPM, bunge la hovyo kabisa. Ukitaka kuzijua rangi halisi za JPM njoo uliangalie hili bunge. Hili bunge ni kazi ya akili na mikono yake mwenyewe
 
Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.

Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX V8 LC300 new brand hivi karibuni!
MAFISADI KTK UBORA WAO
 
Msukuma ni opportuniste number 1,kipindi kile alikuwa team Lowassa ,akahamia team Magufuli, mwanzoni alimpinga kiduchu Samia.Leo yupo asilimia mia na Samia. Ukiona Msukuma anaunga mkono DP ujue kuna kitu kapewa.
 
Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.

Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX V8 LC300 new brand hivi karibuni!
Iyo vx v8 lc 300, nilijua kweli mmiliki ana pesa , ila nilikataa kwamba kaagiza kwa pesa yake , machawa wakajitokeza na kuanza mpamba eti umevaa, uhuni

Tumefika papaya na Mungu amekataa huyu kaa pale mpaka 2025 haondoke kabla ya mda , hii imefanyika ni hatari kwa nchi, na hatujui yajayo

Hawa kama ni kweli ,hawatakiwi hata katika jamii inawezekana vipi uza watu wenu kwa vipande vya fedha ?

Inawezekana vipi saini mkataba hata Mou haijapitishwa na Bunge ,

Leo ni siku nitalala namlilia Mungu wangu juu ya Taifa langu, na naamini Mungu wangu yupo up to date sana
 
Back
Top Bottom