Yule alikuwa mwanaccm mwenye maono shida kwenye hicho chama wana upungufu wa watu dizain yake.Naye alikuwa mwizi tu. Adui wetu mkubwa ni ccm na katiba ya mwaka 1977
R I.P Magufuli
Bungeni Kuna Mtonyo Mwingi SanaMtakua mmedanganywa Rushwa yake ni zaidi ya Bilioni sio nyumba moja hapo watu wakichunguzwa akaunti zao za Nje mtapata majibu...
Mkuu ndani ya CCM hakuna msafi CCM imeoza kila angle kwa ufisadi!! Hata JPM labda angekua CCM tofaut na hapo ni business as usual ila kwa namna tofaut tu!!R I.P Magufuli
Ngoja tuone maana Watu wanaolia sana!
Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.
Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX V8 LC300 new brand hivi karibuni!
R I.P Magufuli
MAFISADI KTK UBORA WAOZipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.
Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX V8 LC300 new brand hivi karibuni!
Msukuma ni opportuniste number 1,kipindi kile alikuwa team Lowassa ,akahamia team Magufuli, mwanzoni alimpinga kiduchu Samia.Leo yupo asilimia mia na Samia. Ukiona Msukuma anaunga mkono DP ujue kuna kitu kapewa.Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.
Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX V8 LC300 new brand hivi karibuni!
Iyo vx v8 lc 300, nilijua kweli mmiliki ana pesa , ila nilikataa kwamba kaagiza kwa pesa yake , machawa wakajitokeza na kuanza mpamba eti umevaa, uhuniZipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.
Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX V8 LC300 new brand hivi karibuni!