Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa.

Aaah wapi? Tunawatumia National Youth Services wanafagia jeshi lenu la polisi alafu tunawatuma polisi wetu wa traffic kuwanyamazisha wanaheshi wenu(JWTZ) kisha tunamwapisha Lissu kama Rais wa Muungano wa Tz na Zanzibar.
😀😀😀😀
 
this isn't necessary...UG ndugu zetu wa tumbo moja ila sioni haja ya mambo haya...huu ni upuuzi mtupu
Wakenya wapuuzi sana, this is according to your own statement... wapuuzi sana hawa jamaa, wanazima moto kwa jirani angali nyumba yao inaungua. ...Miguna anawachora tu haaahaaha
 
So Nyerere alikuwa na kiherehere kuwasaidia Frelimo,Swapo,Zanu,ANC n.k kabla bongo hatujatoka umaskini?
Kwahivyo wabunge tunawalipa mishahara minono ili wakaandamane kule Uganda. Kuna njia nyingi za kuwasaidia jirani zetu Uganda, lakini hiyo ya kuenda kuandamana kwenye nchi za wenyewe ni kiki za wauza sura tu.
 
Hawa wabunge wetu nao wana viherehere vya kitoto. Wahudumie wabunge wao kwanza. Baada ya kushughulikia matatizo yao yote, ruksa kwao, hapo sasa wakipenda wavuke boda moja kwa moja hadi Kampala.
Wakati mwingine huwa unaongea vitu vya maana sana.
 
Akili finyu sana wewe. Unadhani Mwl. Nyerere angekuwa na ubinafsi wa kujijali sisi wenyewe unadhani ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika ungekuja mapema? Acha ubinafsi wewe.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere alienda soweto kuandamana? Hawa wabunge tumewaajiri sisi. Waketi kwenye vikao bunge waje na mikakati ya kusuluhisha matatizo ya jirani. Sio waanze kutumia hela zetu kupanda ndege kuenda Uganda kuvunjwa miguu na vijana wa M7. Hizo sasa ndio akili finyu.
 
this isn't necessary...UG ndugu zetu wa tumbo moja ila sioni haja ya mambo haya...huu ni upuuzi mtupu
Akili za kina Babu Owino, hawa eti ndio vijana tuliowapigia kura. Wewe fikiria baada ya ule uchaguzi wetu wa 07/08. Yaani badala ya jirani zetu kuja kusuluhisha mgogoro, wangetua Kenya pamoja na wabunge wa vyama vyao ili waandamane dhidi ya kibaki.
 
Wakitoka huko wavuke boda kuingia na kwa Kagame hapo.
 
Hata sisi tulishawahi kwenda Uganda.
TULIKWENDA KWA SABABU WALICHUKUA ARDHI YETU!
NDIO MAANA IKAITWA VITA YA KAGERA!
JAMANI NYINYI VIJANA HEBU ACHENI KUCHAT MUSOME HISTORY YA NCHI YETU TANZANIA JAMANI!
HII NCHI YETU HATUKUFANYA KITU CHOCHOTE KWA KUKURUPUKA!
NCHI YETU TUNAFANYA VITU KWA HEKIMA NA BUSARA KUU!
AMANI YA NCHI YETU NI YA MILELE NA ATAKAYE THUBUTU KUWA NA MAWAZO YA KUIONDOA AMANI WALAHI ATAKUFA YEYE NA KIZAZI CHAKE MILELE YOTE WALAHI
that’s all!
 
Akili finyu sana wewe. Unadhani Mwl. Nyerere angekuwa na ubinafsi wa kujijali sisi wenyewe unadhani ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika ungekuja mapema? Acha ubinafsi wewe.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma history vizuri!
WATANZANIA TULIKWENDA KUMTO MDHUNGU NA KUSAIDIA NCHI ZAO KUPATA UHURU!
SIO MAMBO YA KIHUNI, UNASIKIA BINTI MDOGO!
 
Aaah wapi? Tunawatumia National Youth Services wanafagia jeshi lenu la polisi alafu tunawatuma polisi wetu wa traffic kuwanyamazisha wanaheshi wenu(JWTZ) kisha tunamwapisha Lissu kama Rais wa Muungano wa Tz na Zanzibar.
Lissumsaliti
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…