SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Nchi hii ishakuwa useless. Mje na huku. Raisi wetu hopeless na serikali yake ni genge la wajinga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comoro nao walichukua ardhi yetu?TULIKWENDA KWA SABABU WALICHUKUA ARDHI YETU!
NDIO MAANA IKAITWA VITA YA KAGERA!
JAMANI NYINYI VIJANA HEBU ACHENI KUCHAT MUSOME HISTORY YA NCHI YETU TANZANIA JAMANI!
HII NCHI YETU HATUKUFANYA KITU CHOCHOTE KWA KUKURUPUKA!
NCHI YETU TUNAFANYA VITU KWA HEKIMA NA BUSARA KUU!
AMANI YA NCHI YETU NI YA MILELE NA ATAKAYE THUBUTU KUWA NA MAWAZO YA KUIONDOA AMANI WALAHI ATAKUFA YEYE NA KIZAZI CHAKE MILELE YOTE WALAHI
that’s all!
Hili ndilo kosa la waTz sijui tumerogwa na nani?! . Kila kukicha wabunge hasa wa upinzani korokoroni pamekuwa ni nyumbani kwao !!!!.Tulitakiwa tufanye haya Tundu Lissu aliposhambuliwa na hata Mr II alipowekwa ndani.
Wakimfunga Mbowe wasubiri moto
😀😀😀😀😀 ngoja cocochanel akusikieMkitoka huko ug njoeni tz mtusaidie jaman tunakufa na tai shingoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoweka hiyo 'tu' unamaanisha wewe na nani?Tulitakiwa tufanye haya Tundu Lissu aliposhambuliwa na hata Mr II alipowekwa ndani.
Wakimfunga Mbowe wasubiri moto
Tulitakiwa tufanye haya Tundu Lissu aliposhambuliwa na hata Mr II alipowekwa ndani.
Wakimfunga Mbowe wasubiri moto
Mzee una maswali ya kichokozi, Halafu ni Mafupi sana, Sijui kwa nini[emoji2] [emoji2] [emoji2]Comoro nao walichukua ardhi yetu?
Unataka niache kazi zangu na shughuli zangu za Kilimo niende kuandamana kufanikisha mipango ya Wanasiasa?Hili ndilo kosa la waTz sijui tumerogwa na nani?! . Kila kukicha wabunge hasa wa upinzani korokoroni pamekuwa ni nyumbani kwao !!!!.
WaTz ni waswahili, waoga na wanafki tu. Na tukubali tulifanya kuhairisha UKUTA
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hawampeni m7, kama vile wasivyompenda JPM, Ila watanyooka tu. Time will tell.WAKENYA WANA HASIRA YA KUKOSA DEAL YA MAFUTA!
BIASHARA TU HAPO HAMNA KITU!
YOU HAVE TO CHOOSE YOUR BATTLES SIYO KUPARAMIA TU!
That’s all
Good morning my brother from failed state?Aaah wapi? nyinyi mnachapwa na M23 mtawezana na vijana wetu wa NYS kweli, si watawavumburusha hadi Malawi wakiwa tu na bakora.
Nilichoandika. Sisi kama raia tuna haki ya kuandamana kumpinga Museveni, tufunge mabarabara mipakani tuoneshe hasira zetu. Ila tuliowachagua kama viongozi nao pia wana majukumu yao na mbinu zao. Iwapo wamekubali uhalali wa malalamishi yetu waketi bungeni wajadili haya masuala, kisha wamshinikize rais afanye watakavyoamua. Haikubaliki kabisa kwa majirani kuingia kichwa kichwa kwenye masuala ya nchi za wenyewe, tena nchi huru.
TZ tops region in democracy indexBongo tunajali
Matumbo yetu wenNzetu wanajali zaid democracy na haki za wnanchi wao
Hata Nyerere aliacha kazi zake nzuri (ualimu) na kwenda kujitolea ili watu wapate uhuru .Unataka niache kazi zangu na shughuli zangu za Kilimo niende kuandamana kufanikisha mipango ya Wanasiasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Good morning my brother from failed state?
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano, tukiandamana tukamtoa huyo Magufuli, unadhani ni nani kutoka upinzani atakuwa Rais?Hata Nyerere aliacha kazi zake nzuri (ualimu) na kwenda kujitolea ili watu wapate uhuru .
Na hili lazima watu wajitolee kuwang'oa madikteta wa kweli au uchwara . EAC imeharibika udikteta imekuwa fashion !!! Zamani Tz tulikuwa tunazikemea nchi zenye kuongozwa ki dikteta, je leo tutamkemea nani ?! Wakati sisi ni wachafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani rais lazima atoke upinzani, tunachotaka ni kuondoa udikteta.Kwa mfano, tukiandamana tukamtoa huyo Magufuli, unadhani ni nani kutoka upinzani atakuwa Rais?
Sent using Jamii Forums mobile app
Moto ndani ya JF au??Tulitakiwa tufanye haya Tundu Lissu aliposhambuliwa na hata Mr II alipowekwa ndani.
Wakimfunga Mbowe wasubiri moto