Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa.

Wabunge wa Kenya kwenda Uganda kuandamana. Ubalozi wa Uganda kufungwa.

TULIKWENDA KWA SABABU WALICHUKUA ARDHI YETU!
NDIO MAANA IKAITWA VITA YA KAGERA!
JAMANI NYINYI VIJANA HEBU ACHENI KUCHAT MUSOME HISTORY YA NCHI YETU TANZANIA JAMANI!
HII NCHI YETU HATUKUFANYA KITU CHOCHOTE KWA KUKURUPUKA!
NCHI YETU TUNAFANYA VITU KWA HEKIMA NA BUSARA KUU!
AMANI YA NCHI YETU NI YA MILELE NA ATAKAYE THUBUTU KUWA NA MAWAZO YA KUIONDOA AMANI WALAHI ATAKUFA YEYE NA KIZAZI CHAKE MILELE YOTE WALAHI
that’s all!
Comoro nao walichukua ardhi yetu?
 
Tulitakiwa tufanye haya Tundu Lissu aliposhambuliwa na hata Mr II alipowekwa ndani.

Wakimfunga Mbowe wasubiri moto
Hili ndilo kosa la waTz sijui tumerogwa na nani?! . Kila kukicha wabunge hasa wa upinzani korokoroni pamekuwa ni nyumbani kwao !!!!.

WaTz ni waswahili, waoga na wanafki tu. Na tukubali tulifanya kuhairisha UKUTA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKENYA WANA HASIRA YA KUKOSA DEAL YA MAFUTA!
BIASHARA TU HAPO HAMNA KITU!
YOU HAVE TO CHOOSE YOUR BATTLES SIYO KUPARAMIA TU!
That’s all
 
Hili ndilo kosa la waTz sijui tumerogwa na nani?! . Kila kukicha wabunge hasa wa upinzani korokoroni pamekuwa ni nyumbani kwao !!!!.

WaTz ni waswahili, waoga na wanafki tu. Na tukubali tulifanya kuhairisha UKUTA

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka niache kazi zangu na shughuli zangu za Kilimo niende kuandamana kufanikisha mipango ya Wanasiasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichoandika. Sisi kama raia tuna haki ya kuandamana kumpinga Museveni, tufunge mabarabara mipakani tuoneshe hasira zetu. Ila tuliowachagua kama viongozi nao pia wana majukumu yao na mbinu zao. Iwapo wamekubali uhalali wa malalamishi yetu waketi bungeni wajadili haya masuala, kisha wamshinikize rais afanye watakavyoamua. Haikubaliki kabisa kwa majirani kuingia kichwa kichwa kwenye masuala ya nchi za wenyewe, tena nchi huru.
 
Unataka niache kazi zangu na shughuli zangu za Kilimo niende kuandamana kufanikisha mipango ya Wanasiasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Nyerere aliacha kazi zake nzuri (ualimu) na kwenda kujitolea ili watu wapate uhuru .
Na hili lazima watu wajitolee kuwang'oa madikteta wa kweli au uchwara . EAC imeharibika udikteta imekuwa fashion !!! Zamani Tz tulikuwa tunazikemea nchi zenye kuongozwa ki dikteta, je leo tutamkemea nani ?! Wakati sisi ni wachafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good morning my brother from failed state?
[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
1505192142030.jpg

heavily_indebted_poor_countries.jpg

Africa-UN.jpg
 
Hata Nyerere aliacha kazi zake nzuri (ualimu) na kwenda kujitolea ili watu wapate uhuru .
Na hili lazima watu wajitolee kuwang'oa madikteta wa kweli au uchwara . EAC imeharibika udikteta imekuwa fashion !!! Zamani Tz tulikuwa tunazikemea nchi zenye kuongozwa ki dikteta, je leo tutamkemea nani ?! Wakati sisi ni wachafu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano, tukiandamana tukamtoa huyo Magufuli, unadhani ni nani kutoka upinzani atakuwa Rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom