Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Cha muhimu hapo unapoishi angalia kulia na kushoto, mbele na nyumba. Ukiona kuna maendelea umeyafanya basi furahia na kujipongeza. Hayo ya SGR na Stiglers iachie serikali ndio maana yupo Dr. Abbas. Usishangae tukija kwako tukakuta unakaa kwenye store.