aiseeeee,sikujua bana, mi naambiwa ni kama ulaya halfu nasikia wote wamesoma na wana akili kupita kiasiKumbe umeambiwa Kenya hakuna maskini!!! Kenya maskini wapo wengi tu kama Tz na wananyumba hadi za nyasi, hawana maji safi umeme nk.
Vipi Hoodla,it makes me so mad that this bloodsuckers are making it like a joke that they are swindling the tax payers!It makes me more mad that the speaker muturi recieves the report while laughing!Hate the guy so much right now he is the biggest fool ever!.Atleast you Hoodla are just an extinguisher of hope,hahaha.I blasted that guy so ruthlessly in that thread,but I felt so bad after I had to loosen a little.Ha!
Looooh you don't know me too well to judge me.....My fingers are crossed I'd like to see how the Mpigs will take the shackles off their feet
Awww!, poor MPs, they're being fed old mandazi?!, C'mon neighbours, you can do better than this.....lol!
Ouch! kui you shouldn't have come here, am under the table with embarrassment. Our Mpigs have set a new record in the world.
aiseeeee,sikujua bana, mi naambiwa ni kama ulaya halfu nasikia wote wamesoma na wana akili kupita kiasi
Kenya wabunge wanalipwa kuliko wabunge wa Ufaransa
nasikia Wabunge wa Kenya ni wanne duniani kwa kulipwa vizuri
aiseeeee,sikujua bana, mi naambiwa ni kama ulaya halfu nasikia wote wamesoma na wana akili kupita kiasi
Wakimaliza nitahitaji wapishi kwenye hoteli yangu INCHAGE GALAXY iko Bunda, Tanzania.
Kweli nilivyosoma heading nikajua this is one of utani kati ya watani wa jadi; kenya na Tzee. Kuja kusoma duh, kumbe ni kweli. Kwa kweli Trump huwa anaropoka mambo ya ukweli hata Mugabe pia. Tofauti na sisi wao huita Chepe chepe na sio kijiko kikubwa. Wakenya karibia wote ni majizi
hii ni kama comedy
Yaani hii aibu baba yangu....
Hawa wabunge wamesahau haraka kwamba Wakenya wakiamua kukinukisha huwa kinanuka.