maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
aiseeeee,sikujua bana, mi naambiwa ni kama ulaya halfu nasikia wote wamesoma na wana akili kupita kiasiKumbe umeambiwa Kenya hakuna maskini!!! Kenya maskini wapo wengi tu kama Tz na wananyumba hadi za nyasi, hawana maji safi umeme nk.