Wabunge wa sasa waliodumu bungeni muda mrefu, miaka 20 na kuendelea

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
  1. William Lukuvi- Miaka 30
  2. Job Ndugai-Miaka 25
  3. Mussa Zungu-Miaka 20
  4. Ahmed Shabiby-Miaka 20
  5. George Mkuchika-Miaka 20
  6. George Simbachawene-Miaka 20
  7. Luhaga Mpina-Miaka 20
  8. Maida Hamad Abdallah-Miaka 20
  9. Halima Mdee-Miaka 20
  10. Vita Kawawa-Miaka 20
  11. Pindi Chana-Miaka 20
 
Hapo target ni Mpina. Wengine wote watakatwa kwa sababu ya Mpina.
 
Mama Sitta mbona sija muona hapo au amesha toka bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…