kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Miaka 30 mtu ni mbunge tu inamaa hakuna watu huko jimboni wenye sifa? Na hapo ni rushwa tuu hakuna kingine! Na miaka hiyo yote 30 kuna jini kimboni kakifanya kama mbunge achilia mbali yale yanayo fanywa kwa mipango ya serikali,miaka 30!, they must go
- William Lukuvi- Miaka 30
- Job Ndugai-Miaka 25
- Mussa Zungu-Miaka 20
- Ahmed Shabiby-Miaka 20
- George Mkuchika-Miaka 20
- George Simbachawene-Miaka 20
- Luhaga Mpina-Miaka 20
- Maida Hamad Abdallah-Miaka 20
- Halima Mdee-Miaka 20
- Vita Kawawa-Miaka 20
- Pindi Chana-Miaka 20