GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,055
Reaction score
781
Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.

1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6. January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus Manyinyi Mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17. Mohamed Monni - Chemba
18. Shanif Mansoor - Kwimba
19. Idi Kassim Idi - Msalala
20. Zubery Kuchauka - Liwale
21. Emmanuel Ole Shangai - Ngorongoro
22. Idd Mpakate - Tunduru Kusini
22. Hasani Kungu - Tunduru Kaskazini
23. George Mwenisongole - Mbozi
24. Twaha Mpembenwe - kibiti
25. Shabani Shekilindi - Lushoto
26. Innocent Kalogeres - Morogoro Kusini
27. Fratey Maasay - Mbulu Mjini
28. Alfred Kimea - Korogwe Mjini
29.

update

Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
 
Nicodemus Maganga-Mbogwe
Gwajima hakuchukua fomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…