Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
Ana umri gani kumzidi Margareth Sitta?Umri umeenda kipengele
Ana umri gani kumzidi Margareth Sitta?Umri umeenda kipengele
Mkuu hayo ni mambo ya ndani ambayo wabunge wanakumbana nayo, sio kujenga barabara tu mkuuPesa ndo suluhisho eeeeh
Tuna safari ndefu sana na rushwa haitawahi kuisha na maendeleo ni ...
itasaidia kuondoa wabunge wazembe, miaka mitano umeshindwa kuleta maendeleo jimboni halafu unataka upewe mitano tena, utafyekwa tu kwenye hiyo hatua ya piliItasaidia Nini!??
Maskini na wajinga sio watu wa kuwaamini kabisa.............
😂😂😂😂😂Itakuwa Walimtonya(Mtungo Mtongozo),,Maana Vijana Wa Sasa Kwa Mishangazi....Si Haba...
TuwaombeeHawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
TuwaombeeFamilia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar
Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga
2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze
Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu
2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro
Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini
Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar
2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar
3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar
4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
Ngoja nioneNipo mtumishi,sijapita nipe link mpya nijionee yajayo
Nipo mtumishi,sijapita nipe link mpya nijionee yajayo
View: https://www.youtube.com/live/hRmLjySTdHU?si=NOjxnIRNA6lv-EsP
Ukiingia Kuna ambayo Iko full hii wamekata nahisi
Ongeza Sharif Mansoor mbunge jimbo la Kwimba.Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Hakuna jimbo la kupoteza. Mbinu halali na zisizo halali zote zitatumika kuhakikisha ushindi.Tuseme ukweli, hivi ccm itakubali kupoteza majimbo kadhaa kizembe kwa vyama dhaifu vya upinzani ili tu kuhadaa dunia kuwa kuna upinzani wa nguvu? Labda kama chadema yenye nguvu itashiriki! lakini si kupoteza majimbo hasa ya bara kwa ACT, CHAUMMA, CUF hatuoni hamshaamsha za vyama hivyo vinavyoonekana ni vya kimamluki, sijui kampeni zao zitakuwaje kwa kuvutia wananchi