Umri umeenda kipengeleAngelina mabura naye hajarudi
Umri umeenda kipengeleAngelina mabura naye hajarudi
Unaumwa wewe. Ukiwa pale kanisani kwake wale mateka wanaoshangilia Kila anachokiongea unajua ni Tanzania nzima? Wale hata lakini Moja hawafikiMkuu tuombe uzima October sio mbali
Ni swala la mda
Kwa macho ya kibinadamu amepita kwa sisi tunaona deep atasubili sanaUnaongelea Makonda yupi huyo? Utakuwa mgeni wa nchi hii wewe kwa CCM
Ayo ni mawazo mgando ndgUnaumwa wewe. Ukiwa pale kanisani kwake wale mateka wanaoshangilia Kila anachokiongea unajua ni Tanzania nzima? Wale hata lakini Moja hawafiki
Huna deep popote unapoona wewe zaid ya hisia za kiwango cha chini.Kwa macho ya kibinadamu amepita kwa sisi tunaona deep atasubili sana
Wewe Ndio ulompa hiyo fomu? Au Ile clip ya wakati wa jiwe Ndio umeshindwa kuananlyse ukavonclude?Gwajima alichukua fomu
Msiba bila ubwabwa ni gulio Hilo.Ubwabwa tena
Basi kuna chuki kama ni hivyoKuna speech aliitoa bungeni kuhusu Uchaguzi ukiisikia unajua kwanini katolewa
Hv hawa wana undugu? Somebody Jakka Mwambe sijui niko sawa hilo jina nae ashakua mbunge maeneo hayo miaka ya nyuma.1 Geoffrey Mwambe Masasi Mjini
2 Cecil Mwambe Ndanda
Kamkate weweNape kwanini hajakatwa?
Sawa ni mtazamo wakoHuna deep popote unapoona wewe zaid ya hisia za kiwango cha chini.
Huyu Mungu tunae mwabudu, acha aitwe MUNGU. Gambo akiwa mkuu wa wilaya ya Arusha, alimtafutia visa mkuu wake wa mkoa, Ntibenda hadi aka onekana ni chukizo kwa Rais Magufuli, aka mtoa, alipo pandishwa yeye kuwa mkuu wa mkoa, aka hamishia unafiki wake kwa Godbless Lema, hadi kutumia vyombo vya usalama kumsumbua Lema.Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.Yusuph Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi
17.
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Anabebwa na Riz hana loloteMkuu, katika hao 7 unafikiri kuna mwenye ushawishi kumzidi MAKONDA?
Kijana wa makamo nyota imekwishang’aa, mwacheni asonge mbele.
Anamzidi Wasira?Umri umeenda kipengele
Karma is a bitch, Gambo alimnyanyasa sana Lema, sasa ni zamu yake to feel the pain.Huyu Mungu tunae mwabudu, acha aitwe MUNGU. Gambo akiwa mkuu wa wilaya ya Arusha, alimtafutia visa mkuu wake wa mkoa, Ntibenda hadi aka onekana ni chukizo kwa Rais Magufuli, aka mtoa, alipo pandishwa yeye kuwa mkuu wa mkoa, aka hamishia unafiki wake kwa Godbless Lema, hadi kutumia vyombo vya usalama kumsumbua Lema.
Sasa KARMA ime geuka, mashambulio yako kwake, malipo ni hapa hapa