G
guest-1790917349
Guest
Hivi ndugai kapita?Tule aliyechapwa bakora na Job Ndugai akapoteza fahamu, tafuta hiyo clip
Hivi ndugai kapita?Tule aliyechapwa bakora na Job Ndugai akapoteza fahamu, tafuta hiyo clip
Ile clip ilikuwa ya mda mrefuGwajima alichukua fomu
Yes kapita ana wapinzani wengine 9Hivi ndugai kapita?
Mmh watampiga chini tu maana hayuko team kizimkaziYes kapita ana wapinzani wengine 9
Hakuna lolote litakalotokea ,Watu hawaamini kwamba huu mwaka Kuna mambo yanatokea sio bahati mbaya
Yajayo yanafurahisha mno
Hakuna mbunge anaitwa yusuph makamba.Huyu alichukua form kweli?
Hata kama sio geresha mkuu, MAKONDA angepita.Wamewaweka km geresha tu
Hicho kitu akipoo yeye na baba revo awatoboiKwa hiyo Makonda anaenda mjengoni? Huu ni usenge
Kama MPINA ametemwa utegemee nini hapo!Hivi Gwajima alichukua fomu?
Majibu kuhux gwaji subiria October mkuuMakamba na gwajima waneniuma sana
Japa JF, kuna vichwa maji sana! Hili swali, litaendelea kuulizwa, ingawa aliyeleta uzi huu, kishaandika hapo juu!Gwajima hakuchukua fomu
Baba levo hatoboi ila Makonda ni mbunge wa chuga, labda Gambo angepita tungeandika vinginevyoHicho kitu akipoo yeye na baba revo awatoboi
Makamba ndiyo MTU anayevujisha oil za ikulu , tutegemee kupata taarifa nyingi za ikuluMakamba na naibu wake Byabato watakuwa walimfanyia kosa kubwa sana Rais Samia
Narudia Tena subiri utaona mbona sio mbaliHakuna lolote litakalotokea ,
Kikubwa tutulie tutawaliwe bc 😀😀
Bashite akitoboa kuna mzinga wa konyagi mkuuBaba levo hatoboi ila Makonda ni mbunge wa chuga, labda Gambo angepita tungeandika vinginevyo
Ilo liko wazi watatembea wengiNarudia Tena subiri utaona mbona sio mbali
Na Kuna ambao tutazika kabla ya hizo election 😂