lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,748
- 3,460
Hivi Makamba ana kimavi gani mbona huwa hana damu ya kibali hata akibebwa anamwaga?....anawakosea wapi bosses?
Huyu nani kiongozi
Ulimuona???Gwajima alichukua fomu
Makamba huyo kazimiaHuyu nani kiongozi
Lete picha ya Gwajima akichukua fomu nikupe milioniGwajima alichukua fomu
Wamewaweka km geresha tuMkuu, katika hao 7 unafikiri kuna mwenye ushawishi kumzidi MAKONDA?
Kijana wa makamo nyota imekwishang’aa, mwacheni asonge mbele.
Rais wa nini maana marais wengiGwajima atakua rais soon ni swala la mda
gwajima alichukua form tena kibabe,alienda na watu zaidi ya 30 kama walinzi wake.Hivi Gwajima alichukua fomu?
Labda auibe huo urais😀😀Gwajima atakua rais soon ni swala la mda
Hyo n ya mwaka 2020 mwaka huu hakuchukua formgwajima alichukua form tena kibabe,alienda na watu zaidi ya 30 kama walinzi wake.
Jmn sshv lzm uwe team kizimkazi😂Hivi Makamba ana kimavi gani mbona huwa hana damu ya kibali hata akibebwa anamwaga?....anawakosea wapi bosses?
Tule aliyechapwa bakora na Job Ndugai akapoteza fahamu, tafuta hiyo clipHuyu nani kiongozi
Watu hawaamini kwamba huu mwaka Kuna mambo yanatokea sio bahati mbayaLabda auibe huo urais😀😀
Itakuwa Walimtonya(Mtungo Mtongozo),,Maana Vijana Wa Sasa Kwa Mishangazi....Si Haba...Makamba na naibu wake Byabato watakuwa walimfanyia kosa kubwa sana Rais Samia