Ni huzuni kubwa kwa mzee Makamba6.January Makamba - Bumbuli
Kinambi na akili yake kubwa hawezi kukaa bunge lijalo. Gwajima hakuchukia form kumuweke kwenye title ya waliokatwa si sawa.Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Mbunge wa karatuHawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Gwajima hajachukua fomu. Leta ushahidiNdio alichukua fomu, akajaza na kuirejesha.
Kila siku nawaeleza hangaika na CCM iruhusu mgombea binafsi mnakaza fuvu. Haya ndiyo madhara yakeNdio madhara ya kuwa na mfumo mbovu wa uchaguzi kila mtu anakuwa chawa wa Mwenyekiti ili apite.
Rais wa walokole au?Gwajima atakua rais soon ni swala la mda
Namba 6 ataandaliwa ubalozi wa nchi za mbali ili aache unyemeleziHawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Ana mapepo?Huyu ni Kongwa
Lini na wapi na matusi yepi alitumanwa samia, taja tusi angalau mojaAlimwalika Luhaga Mpina mkutano wa hadhara jimboni kwake atukane Samia kwa kutumia platform ya jimbo lake
Akikupa ushahidi nitag 🤣Gwaji
Gwajima hajachukua fomu. Leta ushahidi
Vedasto mathayo manyinyi( musoma mjini)
Yaani hadi Katambi kachukuliwa kaachwa Mpina.Unamuacha Mpina una chukua taktaka
Alijistaafisha zamani maana maza alimmaindi sana alipomwita kopakopa.Hivi ndugai kapita?
Alivamiwa na afisa wanyamaporiAna mapepo?
Kwahili akina Mwamoto wamefanikiwa. Alafu mbaya zaidi aliyekuwa anategemewa na kukubalika na watu wengi Brayani Kikoti naye wamemkata.Wamekula kichwa jimbl litaenda kwa Rita Kabati
Sio Kila msiba wa kawaida 🤣🤣Msiba si kawaida , kikubwa ubwabwa usikosekane
Hahaaa sa km hayuko upande wa mama je?Unaijua kongwA YA NDUGAI???