residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Unamzungumzia Kapteni Jaka Mwambi!!???Hv hawa wana undugu? Somebody Jakka Mwambe sijui niko sawa hilo jina nae ashakua mbunge maeneo hayo miaka ya nyuma.
Unamzungumzia Kapteni Jaka Mwambi!!???Hv hawa wana undugu? Somebody Jakka Mwambe sijui niko sawa hilo jina nae ashakua mbunge maeneo hayo miaka ya nyuma.
Mbona Kuna mtu amesema hakuchukua fomu? Tumwamini nani?Yes, Makamba alichukua fomu, na akahakikisha wapinzani wake halisi hawapewi fomu, lakini hiyo haikusaidia kitu, alishachelewa sana.
Mkijichanganya kumpa yule anajiita Mkorea,Dr esseko mmeishaVedastus manyinyi mathayo - Musoma mjini
Kuna mtu pale anajiita mkorea wakimpa imekula kwaoVedasto mathayo manyinyi( musoma mjini
Kuna mtu pale anajiita mkorea wakimpa imekula kwao
Nimepokea salamuMtumishi nakusalimia
OkayHakuchukua, alitangaza zamani kwamba anastaafu.
Hata Mimi niliona video hiyoKama niliona video Gwajima akichukuwa fomu, ni macho yangu yalikosea?
17. Flatei massay mbulu vijijiniHawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Kaka fuatilieni watu vizuri kabla hamjawapa uongozi,huyo bwana alikuwa halipi watu mishahara,Tanzania hii hana hata nyumba aliyojenga,ni dhumati hana mfano.Kama unabisha mark my word,miaka 3 tu utakuja kukubali maneno yanguMkorea ndiye mgombea mwenye nguvu. Ingawa ana hama hama vyama. Alikuwa CCM akahamia CHADEMA baadae akahamia ACT Sasa karudi CCM.
Gekul nimemuona mbona? Kwanini majaliwa hujamtaja?Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.
1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.
update
Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Gwajima Akuchukua FomuGwajima alichukua fomu
Ni jambo njema na la baraka, ila kwa kanuni na taratibu za waasisi wa taifa Gwajima haiwezekani hivi sasa.Gwajima atakua rais soon ni swala la mda