GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Makonda alipelekwa arusha kimakusudi. Sasa anaenda kuwa waziri katika wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Mark my words
 
Nyamoga nilijua sekibiki wa watu ,inawezekana upelelezi unaenda kukamilika wa kesi pengine
 
Angelina Mabula anaumwa sana miguu, kutembea mita 50 anatumia masaa mawili
Ila bado tamaa zimemjaa! Pamoja na kuumwa miguu na hawezi kutembea ila bado anataka kusimama majukwaani kuomba kura. Watakuja kuanguka majukwaani siku Moja watu wa sampuli hii.
 
Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.

1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.

update

Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
17. Mbunge wa busanda bwana magesa
 
Back
Top Bottom