GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ila kuna hatua ya pili na yatu wabunge waliopita watakumbana nayo. Hatua ya tatu watakutana na kura za wananchi kushindana na wale wa chaumma na ACT, Kuna uwezokano kukawepo na wabunge wawili watatu wa upinzani bungeni hivyo basi ccm itapoteza majimbo kadhaa wakiamua iwe hivyo
 
Tuseme ukweli, hivi ccm itakubali kupoteza majimbo kadhaa kizembe kwa vyama dhaifu vya upinzani ili tu kuhadaa dunia kuwa kuna upinzani wa nguvu? Labda kama chadema yenye nguvu itashiriki! lakini si kupoteza majimbo hasa ya bara kwa ACT, CHAUMMA, CUF hatuoni hamshaamsha za vyama hivyo vinavyoonekana ni vya kimamluki, sijui kampeni zao zitakuwaje kwa kuvutia wananchi
 
babu tale vipi huko morogoro Kusini...!!!?
 
Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar

Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga

2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze

Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu

2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro

Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini

Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar

2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar

3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar

4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
 
Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.

1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.

update

Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Tuwaombee
 
Afadhali Gambo hayupo,alipokuwa RC alipinga kabisa maendeleo ya Jiji la Arusha eg Stand mpya ya kisasa masoko ya kisasa nk.
 
Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha.

1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini
3. Luhanga Mpina - Kisesa
4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
5. Josephat Gwajima - Kawe (Hakuchukua fomu)
6.January Makamba - Bumbuli
7. Nicodemus Maganga - Mbogwe
8. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro
9. Pauline Gekuli - Babati Mjini
10. Angelina Mabula - Ilemela
11. Seif Gulamali - Manonga
12. Justine Lazaro Nyamoga - Kilolo
13. Vedastus manyinyi mathayo - Musoma Mjini
14. Cecil Mwambe - Ndanda
15. Geoffrey Mwambe - Masasi mjini
16. Godwin Kunambi-Mlimba
17.

update

Unaweza kutazama orodha nzima katika uzi huu hapa - LIVE - Kamati Kuu CCM yafanya maamuzi, majina ya watia nia Ubunge yanatangazwa muda huu
Ongeza Sharif Mansoor mbunge jimbo la Kwimba.
 
Tuseme ukweli, hivi ccm itakubali kupoteza majimbo kadhaa kizembe kwa vyama dhaifu vya upinzani ili tu kuhadaa dunia kuwa kuna upinzani wa nguvu? Labda kama chadema yenye nguvu itashiriki! lakini si kupoteza majimbo hasa ya bara kwa ACT, CHAUMMA, CUF hatuoni hamshaamsha za vyama hivyo vinavyoonekana ni vya kimamluki, sijui kampeni zao zitakuwaje kwa kuvutia wananchi
Hakuna jimbo la kupoteza. Mbinu halali na zisizo halali zote zitatumika kuhakikisha ushindi.
Ukiona chama kingine kimeshinda ujue CCM wameamua tu kwa sababu zao mbalimbali kama:
1. Kutomtaka/kutompenda mgombea wao fulani​
2. Kuidanganya jamii ya kitanzania na kimataifa kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.​
.
 
Back
Top Bottom